354. NKULU WABUPA.

Imbuki ya kahayile kenako yilolile kubhutale na bhubupu bho ng’wa munhu. Ubhutale bhunuyo bhudulile golecha wikaji bho miaka mingi umusi, nulu bhupandiki bho nimo ntale umuchalo.

Ubhutale ubho miaki mingi, bhudashilaga. Aliyo lulu, ubhutale ubho gupandika nimo ntale bhugashilaga, ulu nimo gunuyo gwinjiwa. Hunagwene abhanhu bhayombaga giki, ‘nkulu wabupa.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo olina nimo ntale bho makanza malebhe, uyo aginjiwa umunimo gunuyo. Aho olina nimo umunhu ng’wunuyo, abhanhu bhalibhankujije, aliyo aho winjiwa aha nimo gunuyo, abhingi bhagandalahaga, kunguno hamo olindoshi aho olimunimo gunuyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘nkulu wabupa.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja bhudoshi kubhanhu, ulu bhupandika milimo mitale. Yigelelilwe abhanhu bhenabho, bhatumame milimo yabho bho gwikala ni kujo kubhanhu bhose.

Luka 15:13 -16

Daniel 4:30-33

KISWAHILI: MHESHIMIWA ALIYEKOKA HADHI.

Chanzo cha msemo huo chaangalia ukubwa na wepesi wa mtu. Ukubwa huo waweza kuwa wa miaki mingi ya kuishi duniani, au wa kupata kazi kubwa mahali fulani.

Ukubwa wa miaka mingi haupiti. Lakini basi, ule ukubwa wa kupata kazi kubwa au wa kupata madaraka, huisha mara yaishapo madaraka hayo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mheshimiwa aliyekosa hadhi.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu aliyepata madaraka kwa kupewa kazi kubwa katika maeneo yake, baadaye madaraka hayo yaliondolewa kwake.  Alipokuwa na madaraka hayo mtu huyo, watu alimheshimu sana, lakini alipokosa kazi, watu wengi walimdharau, pengine ni kwa sababu ya maringo na dharau zake kwa watu alizokuwa nazo wakati alipokuwa kwenye madaraka hayo makubwa. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mheshimiwa aliyekosa hadhi.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kudharau watu, na kuwa na majivuno, wakati wakiwa madarakani, maishani mwao. Yafaa watu hao wafanye kazi zao kwa kuishi kwa heshima na watu wote.

Luka 15:13 -16.

Daniel 4:30-33.

executive

 

successful

 

ENGLISH: THE UNRESPECTED HONOURABLE

The source of the above saying is a boss who has lost his/her status. This respect being talked about in this saying can come because of someone’s age or nature of job one is doing. The respect that comes from age can be more permanent than the one that comes from the nature of job. Therefore, there is a possibility of someone holding a top position in leadership to be demoted. In such a context, the demoted person can be labeled as unrespected honourable.

The saying can be compared to a person who has been given a great deal of responsibility in his/her area. When the power diminishes, he/she comes to be an ordinary person. This is why people call him, ‘the unrespected honourable.’

The saying teaches people to stop promoting stereotype in life by being arrogant when in power. Rather, they should do their jobs by respecting others as well.

Luke 15:13 -16.

Daniel 4: 30-33.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.