353. UGUGAPANDIKA AMAKOYE AGADINA NKULUYE.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhupandiki bho makoye ayo gakilile pye ayo gab’ita. Amakoye genayo gaginjiyagwa na sab’o ijo alinajo uyo galampandike. Aliyo lulu umunhu ng’wunuyo, alijigusija isabho jinijo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ugugapandika amakoye agadina nkuluye.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agwigusijaga sabho jakwe. Umunhu ng’wunuyo agib’aga igiki, adulile gupandika makoye matale na ugaiwa isabho ijagwigunanila. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ugugapandika amakoye agadina nkuluye.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka kujigusije sagala isabho ijo bhalinajo, kunguno jidulile gubhambilija, ulubhalapandike makoye, umuwikajo bhobho.

Mathayo 25:41.

KISWAHILI: UTAYAPATA MATATIZO MAKUBWA ZAIDI.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye upataji wa matatizo, ambayo ni makubwa zaidi kupita yote yaliyopita. Matatizo hayo huondolewa kwa kutumia mali alizonazo yule atakayeyapata.

Lakini basi, mtu huyo huzichezea mali zake hizo zitakiwazo kutumika katika kumuondolea matatizo hayo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘utayapata matatizo makubwa zaidi.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzichezea mali zake alizonazo. Mtu huyo husahau kwamba, aweza kupata matatizo makubwa zaidi maishani mwake, na kukosa mali za kumsaidia katika kuyatatua. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘utayapata matatizo makubwa zaidi.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kuzichezea mali walizonazo, kwa sababu mali hizo zitawasaidia wakati watakapopata matatizo, maishani mwao.

Mathayo 25:41.

man thinking

ENGLISH: YOU WILL ENTER INTO BIGGER PROBLEMS.

The source of the above saying comes from someone who has encountered some problems in life. These problems need to be resolved using some available resources in the family. In so doing, one finds himself/herself losing more resources in an attempt to solve the problem thus causing him/her to enter into bigger problems than the former ones. This is why people can warn such a person by saying, ‘you will enter into bigger problems.’

This saying can be compared to a person who plays with his/her possessions. Such a person forgets that he/she may experience more problems in future by spending the available resources in solving just one problem.

The proverb teaches people to stop playing with possessions they have because they will help them in future.

Matthew 25:41.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.