352. NUGU-TENGELWA B’O NYAMA NANG’HO WANDYA KUKOB’A JAMAGUHA

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhutengelwa bho nyama hakaya ya ng’wa munhu nhebhe. Imyama jinijo jalijawiza pye ijose. Aliyo lulu untengelwa o nyama ng’wunuyo, agandya guyujichola nsoga guti giki, inyama ijingi jidijawiza. Hunagwene agawilagwa giki ‘nugutengelwa bho nyama nangho wandya gukob’a jamaguha.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alindoshi, ogutogwa gujisondagula ijiliwa ijo wenhelagwa. Umunhu ng’wunuyo agandyaga guyuchola inyama iniza niza ijingi ojibhonaga giki, jidijawiza umukiganikile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘nugutengelwa bho nyama nangho wandya gukob’a jamaguha.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja bhudoshi umukikalile kabho, kugiki bhadule gub’iza na bhulumbi ukubhanhu abho wagabhab’egejaga jiliwa.

Matayo 20:20-24.

KISWAHILI: NA KUTENGEWA NYAMA NAWE UKAANZA KUCHAMBUA ZA MIFUPA

Chanzo cha methali hiyo chaangalia kutengewa nyama kwenye familia ya mtu fulani. Nyama hizo zilikuwa nzuri zote. Lakini yule aliyetengewa ili azile, alianza kuzitafuta zile zilizonzuri, na kuziona zingine kama hazifai. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo, kwamba, ‘na kutengewa nyama nawe ukaanza kuchambua za mifupa.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye ni mwenye majivuno ya kuvidharau vile anavyopewa na wenzake. Mtu huyo baada ya kutengewa chakula huanza kuzitafuta zile zilizonzuri na kuziona zingile kama hazifari. Ndiyo maana wenzake humwambia kwamba, ‘na kutengewa nyama nawe ukaanza kuchambua za mifupa.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha tabia za majivuno ya kuwadharau wengine na kukidharau chakula kile wapewacho maisha mwao.

Matayo 20:20-24.

african-meat

meat

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.