Imbuki ya kahayile kenako yingilile kuwituji bho giti na miso. Igiti jigab’izaga jilihoyi ulu lyulib’ila ilimi. Igiti jinijo, jigagalemejaga amiso ugubhona ikule, kunguno amiso gagabhonaga chiza ung’wisana. Amiso genayo gagab’izaga guti galikenya na giti, kunguno gagubyulaga aliyo gaduma ugubhona chiza. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga ung’winikili miso genayo giki, ‘ugwipigaga na giti.’
Akahayile kenako kalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumama nimo uyo guti na solobho, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, aganogaga sagala, kunguno unimo gunuyo gudabhizagaga na matwajo matale, ahakaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ugwipigaga na giti.’
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kutumama milimo iyo idulile gwenha solobho, ukuwikaji bhobho.
Muhubiri 1: 2-3
I Wakorintho 9: 26-27
Zaburi 104: 19-23.
KISWAHILI: UNASHINDANA NA GIZA
Chanzo cha msemo huo chaangalia upiganaji wa giza na macho. Giza hutokea wakati jua limechowea. Giza hilo huyazuia macho kuona mbali kwa sababu, yenyewe huona vizuri wakati wa mwanga. Macho hayo huwa kama yanapigana na giza kwa sababu hutazama lakini hushindwa kuona vizuri. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo kwamba, ‘unapigana na giza.’
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye hufanya kazi isiyo na manufaa maishani mwake. Mtu huyo huchoka bure kwa sababu ya yeye kufanya kazi isiyo na mapato makubwa kwenye familiya yake. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo kwamba, ‘unapigana na giza.’
Msemo huo hufundisha watu juu ya kufanya kazi ziwezazo kuwapatia mafanikio makubwa maishani mwao.
Muhubiri 1: 2-3
I Wakorintho 9: 26-27
Zaburi 104: 19-23.
ENGLISH: YOU ARE FIGHTING AGAINST DARKNESS.
The source of the above saying is the fight between eyes and darkness. Darkness comes when the sun goes down. It prevents eyes from seeing afar. Eyes tend to fight with darkness because they fail to see clearly during dark times. This is why people can say, ‘you are fighting against darkness.’
The above saying can be compared to someone who does worthless jobs in life. Such a person gets bored for no reason because of doing low-paying jobs. This is why people can tell such a person that ‘you are fighting against darkness.’
The saying teaches people about doing work that can bring them great success in life.
Ecclesiastes 1: 2-3
1 Corinthians 9: 26-27
Psalm 104: 19-23.