733. JISUJI JA GWIB´ILA.

Ulusumo lunulo, lwingilile kuli munhu uyo olilaga bhuli ikanza. Olihoyi munhu umo uyo wikalaga ulila bhuli ikanza, aliyo ulu bhamuja abhiye inguno ya gulilila, aliadabhashokeja. Nose abhanhu bhuyibhuja, “ni bhuli agulilaga umunhu ng’wunuyu?” Umo obho ushosha, “hamo alihoyi munhu uyo agang’wibhonelaga.”

Aho bhankengela chiza, bhudebha giki agalilaga ulu alihabhutongi ya bhanhu duhu, ulu alibhung’wene adalilaga. Hunabhumana igiki, amiso gakwe gali mhumu, gashinaga agagabhilaga minzi amiso gakwe, kugiki abhiye bhamone guti alilila. Hunagwene bhang’witana giki, “jisuji ja gwib’ila.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agiyityaga giki aguluhiyagwa na bhiye, aliyo gashinaga ali nomolomo, umugati yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhaluhyaga abhiye bho bhalembagula. Uluoyiita aya bhulongo yiniyo, agiyityaga guti giki aditumamile iyiniyo, kugiki abhiye bhamone giki ali munhu nhuhiwa, aliyo gashinaga ali nomolomo, umugati yakwe.

Umunhu ng’unuyo, akikolaga nu munhu uyo agagabhilaga minzi amiso gakwe, kugiki abhanhu bhahaye giki agaluhiyagwa, aliyo gashinaga ali nomolomo duhu, kunguno nuweyi ali nomolomo, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “jisuji ja gwib’ila.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza bhatungilila umukikalile kabho.  Bhabhuleke ubhulomolomo, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 27:23-24.

Zaburi 116:11.

KISWAHILI: MACHOZI YA KUJIPAKA.

Methali hiyo ilianzia kwa mtu aliyekuwa akilila kila wakati. Alikuwepo mtu mmoja ambaye alikuwa akilia kila wakati, lakini walipomuuliza sababu ya kulilia, hakuwajibhu. Mwishowe watu wakajiuliza, “kwa nini mtu huyu analia?” Mmoja wao, alijibu, “labda kuna mtu ana muonea.”

Walianza kumchunguza kwa makini ili waweze kuujua ukweli. Walipofanya hivyo, mtu huyo akaonekana kwamba, huwa analia akiwa mbele ya watu tu, akiwa peke yake halii.  Ndipo wakagundua pia kwamba, macho yake huwa makavu wakati akilia, kumbe alikuwa alijipaka maji machoni ili aonekane kwamba analia. Ndiyo maana wakamwita kwamba ni, “machoji ya kujipakaa.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwasingizia wenzake maneno ya uongo katika maisha yake, ili aonekane kuwa mwema. Mtu huyo, huwatesa wenzake kwa kuwadanganya kwamba anaonewa na mtu fulani, kumbe ni muongo. Yeye hujifanya kama anateswa, ili watu wamuonee huruha na wengine waonekane kama watu wanao mtesa, kumbe  ni muongo tu.

Mtu huyo, hufanana na yule anayejipaka macho yake maji ili aonekana kama analia, kwa sababu naye pia ni muongo katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwita kwamba ni, “machozi ya kujipaka.” 

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa wakweli kwa kuacha tabia za uongo katika maisha yao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Mwanzo 27:23-24. “Hakumtambua, kwa sababu mikono yake ilikuwa na nywele kama ya ndugu yake Esau, kwa hiyo akambariki. Akamwuliza, “Hivi kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Mimi ndiye.’’”

Zaburi 116:11. “Katika taabu yangu nilisema, ‘‘Wanadamu wote ni waongo.’’”

crying children

ENGLISH: CROCODILE TEARS.

This proverb began with a man who was always crying.  He was crying all the time, but whenever other people asked him why he was crying, he wouldn’t answer them. People were wondering by asking themselves very often, “Why is this man crying?” One of them replied, “Maybe someone has been torturing him all this long.”

They began searching for him carefully so that they would know the truth. When they did, the man appeared to be crying in public, alone. Then they also noticed that his eyes were dry whenever he cried. However, what made it appear that he was shedding tears is that he was putting water on his eyes to make them look like tears. That is why they called him the “crocodile tears.”

This proverb is used to refer to a man who slanders his fellow men with false words in his life, in order to look good. Such person persecutes his or her colleagues by deceiving them into believing that he or she is being mistreated by someone, but in actual fact he or she is a liar. He pretends to be tortured, so that people will see him as in need of liberation from persecutors, but in actual fact he is just a liar.

That person is like the one who rubs his eyes with water to make him look like he is crying. That is why people call such person “crocodile tears.”

This proverb teaches people on how to be honest, not hypocrites and never engage in lying  by letting go of false habits in their lives, so that they can live in peace with each other.

Genesis 27: 23-24.

Psalm 116: 11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.