732. KUB´ILA NG´HOMBA GU NOMO.

Ulusumo lunulo, lwingilile kuli nkongi o bhana. Olihoyi munhu umo uyo olinkongi o bhana mu chalo jilebhe. Abhana bhenabho bhali bhabhili, uumo oli ng´wana okwe, alu ungi oli ong´wiye.

Ulu wiga ing´homba ong´wishaga ung´wana okwe chiza, aliyo lulu ung’wana ong´wiye omilaga ing’homba yiniyo ku nomo, kugiki abhanhu bhahaye giki ong´wishaga nawe  ing´homba yiniyo.

Ung’wana ng’wunuyo, agakonda nose unina umanija igiki, gashinaga unkongi ng’wunuyo adang’wishaga ing’homba yiniyo, iyo bhagamonaga alinayo ukunomo gokwe. Hunagwene bhagang’wila unkongi ng’wunuyo giki, alina nhung’wa ja “gub’ila ng’homba ku nomo.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agiyolechaga giki alio wiza ubhogunola, aliyo gashinaga agitaga mihayo ya bhubhi, umugati yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhaluhyaga abhiye bho gubhayomba shibhi, na gubhabhipija kaya jabho. Uluoyiita imibhi yiniyo, agiyityaga guti giki aditumamile iyiniyo, kugiki abhiye bha mone giki ali munhu ntengeke, aliko gashinaga ali mulagi o kaya ja bhanhu, umoyo gokwe.

Umunhu ng’unuyo, akikolaga nu unkongi o bhana uyo ong’wishaga ng’wana okwe duhu imhomba, uungi omila kunomo inhomba yiniyo, kugiki bhahaye giki nawe ong’waga, aliyo gashinaga nduhu adang’wile, kunguno nu weyi agiyolechaga giki ali ntengeke, aliyo gashinaga ali obhubhi. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki alina nhungwa ja “gub’ila ng’homba ku nomo.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza bhatungilila umukikalile kabho.  Bhaleke ugwiyolecha giki bhalibhatengeke aliyo gashinaga bhali bhabhihya umumyoyo yabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 27:23-24.

Zaburi 116:11.

KISWAHILI: KUPAKA UJI MDOMONI.

Methali hiyo ilianzia kwa mtunza watoto. Alikuwepo mtu mmoja ambaye alikuwa akilea watoto kwenye kijiji fulani. Watoto hao walikuwa wawili, mmoja alikuwa wa kwake, na mwingine alikuwa wa mwenzake.

Alipokoroga uji alimunyesha mtoto wake, na yule wa mwenzake, alimpata ule uji mdomoni, ili watu wanaomuona akiwa na ujio huo, wamdhanie kwamba, naye amekung’wa ule uji.

Mtoto huyo, alikonda mpaka mwishowe mama yake akagundua kwamba, kumbe yule mlezi alikuwa hamunyeshi ule uji, waliowakimuona nao ukiwa mdomoni kwake huyo mtoto. Ndiyo maana humwambia mtunza watoto huyo kwamba anatabia ya “kupaka uji mdomoni.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujionesha kwa nje kuwa ni mwema, lakini kwa ndani ni mtenda maovu. Mtu huyo, huwatesa wenzake kwa kuwasema vibaya. Anapotenda maovu, hujificha kwa kujifanya kana kwamba hakutenda baya lolote, ili watu wamuone kuwa ni mtu mwema, kumbe ndiye mtenda maovu yakiwemo yale ya uvunjaji wa miji ya watu, ndani moyo wake.

Mtu huyo, hufanana na yule mlezi wa watoto ambaye alimnywesha uji mtoto wake tu, na yule ng’wingine, akampata uji huo mdomoni, ili watu wamdhanie kwamba naye amemnyesha ule uji, kwa sababu naye pia hujionesha kuwa ni mwema, kumbe ni muovu. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ana tabia ya “kupata uji mdomoni.”  

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa wakweli kwa kuacha tabia za kujionesha kwa nje tu kuwa ni wema, lakini kumbe kwa ndani ni watenda maovu, katika mioyo yao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Mwanzo 27:23-24. “Hakumtambua, kwa sababu mikono yake ilikuwa na nywele kama ya ndugu yake Esau, kwa hiyo akambariki. Akamwuliza, “Hivi kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Mimi ndiye.’’”

Zaburi 116:11. “Katika taabu yangu nilisema, ‘‘Wanadamu wote ni waongo.’’”

child eating food

ENGLISH: RUBBING PORRIDGE ON THE LIPS.

This proverb began with a child caregiver. There was one person who was taking care of children in a certain village. The children were two, one was hers, and the other was of another person.

When she was preparing the porridge, she was always giving it to her son, but with the child of her companion, she was always rubbing some of it on her lips such that the people who saw him would think that she has taken the porridge.

As a result of this the child became so thin that at last her mother realized that the caregiver was not feeding her child the porridge she needed. She realized that what she was made to believe that her child was being fed with porridge was just a coat of it on her child’s lips. After knowing this she told the babysitter that she had a habit of “rubbing porridge on the lips” not actually giving it to the child to swallow in her stomach.

This proverb is likened with a person who outwardly shows oneself to be good, but inwardly that person is an evil doer. Because of such habit and character, such person persecutes his or her fellow human beings including insulting them. When he does something evil, he disguises himself as if he has done nothing wrong, so that people may see him as a good man, but he is the perpetrator of evil, including the destruction of human lives.

This man is like a babysitter who gives only porridge to her child, and the other person’s child she coats her with porridge on his lips, so that people think he has given him porridge. That is why people say of such a person that he has a habit of “coating porridge on the lips.”

This proverb teaches people to be truthful for what they do and not pretending with the outward appearance of goodness, but inwardly showing evil inclinations. They should be good people in order to live peacefully with one another.

Genesis 27: 23-24. “Psalm 116: 11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.