666. NG´WIZA ADAGAYIYAGWA JIKA.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile jika ja ng’wa munhu uyo owiza. Umunhu ng’wunuyo, ali na nhungwa jawiza, nuweyi ali owiza umukikalile kabho. Aliyo lulu, bhalihoyi nabho bhagidumaga nawe, abho bhadantogagwa hamo kunguno ya bhukali bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’wiza adagayiyagwa jika.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajikalana inhungwa ijawiza, aliyo lulu, alina bhanhu abho bhagamonelaga jika, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agitaga iyawiza ukubhiye, bho bhutogwa ubho bhuli bho nghana umu ng’holo yakwe.

Uweyi agiyumilijaga uguitumama imilimo yakwe bho wigulambija bhutale, umukikalile kakwe. Gashinaga, umunhu nulu agab´iza o wiza aliyo jigwigela duhu ijika ija guleka guntogwa abhangi.

Umunhu ng’wunuyo, alijigemelo ja gwikala na bhanhu chiza ukubhiye, kunguno ya kikalile kakwe kenako, ako kagolechaga wiyumilija ahikanza lya gubyedwa na bhanhu abho bhagamhonelaga jika. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ng’wiza adagayiyagwa jika.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gujikalana inhungwa ijawiza, umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gupandika matwajo agagujibheja chiza ikaya jabho, umukikalile kabho.

Mithali (Hekima) 2:1ª, 12-22.

KISWAHILI: MZURI HAKOSI KASORO.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia kasoro ya mtu yule ambaye ni mzuri. Mtu huyo, ana sura nzuri na tabia njema, lakini basi, kuna baadhi ya watu wanaokosana naye, ambao humuona kuwa ana kasoro ya ukali. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mzuri hakosi kasoro.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huyaishi maadili yaliyomema, lakini baadhi ya watu humuona kuwa ana kasoro, maishani mwake. Mtu huyo hutenda wema unaotoka ndani ya moyo wake ambao una upendo wa kweli.

Yeye huvumilia katika utekelezaji wa majukumu yake, ambayo huyakamilisha kwa bidii kubwa, katika maisha yake. Pamoja na yeye kuwa na tabia hiyo njema, baadhi ya watu hutafuta kasoro ya kuwafanya wasimpende.

Mtu huyo, ni mfano wa kuigwa na wenzake katika kuishi vizuri na watu, kwa sababu ya mwenendo wake ambao huonesha uvumilivu hata wakati ule anapodharauliwa na watu wanaongalia kasoro yake, badala ya wema wake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘mzuri hakosi kasoro.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuendelea kuyaishi maadili yaliyo mema, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio ya kuziendeleza vyema familia zao, maishani mwao.

Mithali (Hekima) 2:1ª, 12-22.

kind one

kind one1

kind one2

 

ENGLISH: NO ONE IS PERFECT.

The source of this proverb is the faults that can bee seen in someone assumed to be perfect in his/her doings. There are people in the society who are considered to be perfectionists. Such people are likely to fall in danger of being scrutinized by others to see how they can commit mistakes. When they spot even a single mistake in him/her they will publicize it in order for people to know the other side of that particular person. This is why people came with the proverb ‘no one is perfect’ to describe this scenario.

 This proverb can be compared to someone who lives a good life. Such a person is likely to be looked at by others in relation to how he/she can commit mistakes. A person of this nature can be very organized in his/her duties despite others looking for his/her flaws. He/she appears to be a role model to others because of the way he/she is patient in his/her execution of duties.

This proverb teaches people to have patience in life and continue living the right values in their lives. In so doing, they will be successful in improving their families in their lives.

Proverbs (Wisdom) 2: 1ª, 12-22.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.