667. SHIHILE/JIPILE SHITABHELAGA NDA.

Imbuki ya lusuno lunulo, yilolile jiliwa jizugile ijo jidatumlaga Nda ya ng’wa munhu uyo ojilyaga. Ijiliwa jinijo, jidikalaga wikanza ilihu umunda ya ng’wa munhu uyo ojilyaga, kunguno jigafuma wangu guti minzi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘shihile/jipile shitabhelaga Nda.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali nevi, nulu ng’wii o walwa, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adulile nulu gujimalila ihela jakwe bho gujigulila walwa bho gung’wa, kunguno ya bhulevi bhokwe bhunubho. Uweyi adatumamaga chiza imilimo ya ha ng’wakwe, kunguno ya gwikala aguyungaga sagala mumawalwa.

Umunhu ng’wunuyo, agakoyiyagwa na nzala akaya yakwe, kunguno ya kugaiyawa ijiliwa aha ng’wakwe henaho. Uweyi agikomejaga gung’wa walwa duhu bho nduhu guidilila ikaya yakwe yiniyo.

Giko lulu, ulu udahilwa uwalwa bhunubho na gwinhilijiwa, agayombaga giki, ‘bhudabhelaga Nda,’ kunguno ulu ubhung’wa agwikala ikanza iguhi, wandya gusubhala. Hunagwene agayombaga giki, ‘shihile/jipile shitabhelaga Nda.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guleka bhulevi bho gung’wa walwa umukikalile kabho, kugiki bhadule gwigulambija gutumama milimo iyo idulile gubhapandikalila matwajo gagujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Marko 7:14.

Yohana 2:1-12.

KISWAHILI: VILIVYOIVA HAVIPASUI TUMBO.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia chakula kilichoiva ambacho hakipasui tumbo la mlaji wake. Chakula hicho, hakikai kwa muda mrefu tumboni mwa mtu yule aliyevila, kwa sababu huwa vinatoka kama maji. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘vilivyoiva havipasui tumbo.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mlevi wa pombe, katika maisha yake. Mtu huyo, huweza hata kuzimalizia pesa zake kwa kuzinunulia pombe za kunywa, kwa sababu ya ulevi wake huo. Yeye hafanyi vizuri kazi za nyumbani kwake, kwa sababu ya kutumia muda wake kuzurura hovyo kwenye vilabu vya pombe.

Mtu huyo, husumbuliwa na jaa kwenye familia yake kwa sababu ya kukosa chakula. Yeye huendelea kunywa pombe bila kuijali familia yake hiyo, katika maisha yake.

Hivyo, yeye akichotewa pombe hiyo, na kupewa husema kwamba, ‘haupasui tumbo,’ kwa sababu akiinywa hubaki tumboni kwa muda mfupi, na kuanza kutoka kwa njia ya mkojo. Ndiyo maana yeye husema kwamba, ‘vilivyoiva havipasui tumbo.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha ulevi wa kunywa pombe, katika maisha yao, ili waweze kujibidisha kufanya kazi zinazoweza kuwapatia mafanikio ya kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Marko 7:14.

Yohana 2:1-12.

food4

food-3

food tamarind

ENGLISH: COOKED FOOD WILL NEVER CAUSE THE STOMACH TO BURST.

The source of this proverb is food and its eater. The food when eaten, it does not stay long in the eater’s stomach rather it is taken out in a different form through the process of excretion. This is why people came with this proverb that ‘cooked food will never cause the stomach to burst.’

This proverb can be compared to an alcoholic person who spends much of his/her money on alcohol. This person can fail to do most of his/her activities and eventually can suffer from famine. When asked why spending much time in alcohol he/she can say that he/she won’t be affected by it because finally it goes out of his/her stomach.

The proverb teaches people about avoiding taking much alcohol in their lives. Rather, people have to commit themselves to activities that can make them successful in life.

Mark 7:14. John 2: 1-12.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.