654. KALAGU:– KIZE. KAKIMA KASOGA KAKABHEJAGA NANI:- NZUKI

Imbuki ya kalagu yiniyo, yilolile Nzuki umoyigabhegejaga bhuki. Inzuki yiniyo, yilijisumva ijo jilijidoni, aliyo jigabhejaga bhuki bhunonu gete ubho bhugabhizaga makubhi. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kakima kasoga kakabhejaga nani:- Nzuki.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina nhungwa jawiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumamaga mpaga oyimala chiza imilimo yakwe, iyo igikolanijiyagwa ni kubhi, ukubhiye, kunguno ya bhutumami bhokwe ubhowiza bhunubho. Uweyi agibhegelejaga chiza hayo atali ugugwandya unimo gokwe, kunguno ajidebhile ijitumamilo ija milimo yakwe, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nzuki iyawiza yiniyo, kunguno nuweyi aliowiza umubhukamu bho guitumama chiza imilimo yakwe mpaga oyimala. Uweyi alijigemelo ukubhiye,  ija gwilanga uguitumama imilimo yiniyo, bho bhukamu bhutale mpaga guimala chiza. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga bho gung’wilaga giki, ‘kakima kasoga kakabhejaga nani:- Nzuki.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gutumama milimo yabho bho bhukamu bhutale mpaga guimala chiza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Ezekieli 3:3.

Zaburi 81:16.

Luka 1:40.

Mithali 31:10.

Luka 11:27.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA:-

KANAKAKE KAZURI KANATENGENEZA MBOGA – NYUKI.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia Nyuki anavyotengeneza asali. Nyuki huyo, ni kiumbe kidogo sana ambacho kina uwezo wa kutengeneza asali tamu ya kuweza kutumika kama mboga. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kanakake kazuri kanatengeneza mboga:- Nyuki.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule mwenye tabia njema katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya kazi zake kwa umakini mkubwa mpaga anazimaliza, ambazo hulinganishwa na mboga au asali, kwa sababu ya utendaji wake ulio mzuri. Yeye hujiandaa vizuri kabla ya kuanza kazi zake, kwa kuvikusanya vitendea kazi vinavyohitajika katika kazi hiyo, maishami mwake.

Mtu huyo, hufanana na Nyuki kwa sababu naye ni mzuri katika utendaji wake wa kazi, ambazo huzitekeleza vizuri na kwa umakini wa hali ya juu. Yeye ni mfano wa kuigwa kwa wenzake, katika kuwa na bidii kubwa ya kuzitekeleza kazi mpaga kuzimaliza vizuri. Ndiyo maana watu huhadithiana kwa kumwambia kwamba, ‘kanakake kazuri kanatengeneza mboga:- Nyuki.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kufanya kazi kwa bidii kubwa kuanzia mwanzo wa kazi hizo, mpaga kuzikamilisha vizuri, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Ezekieli 3:3.

Zaburi 81:16.

Luka 1:40.

Mithali 31:10.

Luka 11:27.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.