653. BHUBHEJA WA NO BHUGATWALA NOMO IPANDE.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile bhubheja ubho bhugabhipya nomo bho guguchala lwande. Ubhubheja bhunubho, bhulibhogujishogela ugujibheja iginhu ijo jamalaga gubhela. Umeja o ginhu ijojabhelaga, agajibhipyaga nose, kunguno ya gumana ujishokela ugujibheja. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘bhubheja wa no bhugatwala nomo ipande.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agaikenagulaga imilimo imisoga, kunguno ya gwitula bhumani bho sagala, umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo, agamanaga uibhegeleja imilimo iyo yamalaga gubhela, guti nu meja o nomo uyo agagutwala lwande, kunguno ya bhudonho bhokwe. Uweyi agamanaga unoneleja guti gutwila munhu ng’wikubhi nose gulula amakubhi genayo.

Umunhu ng’wunuyo, agaikenagulaga imilimo yakwe ni ya bhiye kulo wituji bho bhumani bhokwe. Abhiye bhaganhugulaga giki, aleke ugujibheja iginhu ijo jamalaga gubhela. Hunagwene bhagang’wilaga giki, ‘bhubheja wa no bhugatwala nomo ipande.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guleka gwitula bhumani bho  guitumama imilimo iyo yabhelaga, kugiki bhadizuyikenagula, umuwikaji bhobho, kunguno, ubhumani ulu bhubhitila, ingelelo yaho, bhuli bhukenaguji.

Mwanzo 11:4.

Mathayo 23:5.

Mathayo 6:16.

1 Wathesalonike 3:10.

Tito 1:5.

Waebrania 3:4.

1 Petro 5:10.

Mithali 16:18.

Mhubiri 29:23.

Luka 6:24.

KISWAHILI: UTENGENEZAJI WA MUDA MREFU ULIPELEKA MDOMO UPANDE.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia utengenezaji wa kitu kilichochisha kutengenezwa, ambao ulipeleka mdomo upande. Utengenezaji huo, ni wa kutumia muda mrefu katika kukirudia kukitengeneza kitu ambacho matokeo yake ni kukipeleka kitu hicho upande. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘utengenezaji wa muda mrefu ulipeleka mdomo upande.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huziharibu kazi zilizoisha kutekelezwa kwa sababu ya kujidai kujua kwake kwa hovyo, katika maisha yake. Mtu huyo, huendelea kuzirudia kazi zilizoisha kutekelezwa, kama yule mtengenezaji wa mdomo aliyeupeleka upande. Yeye huendelea kuzinogesha kazi hizo zilizoisha, matokea yake huziharibu.

Mtu huyo, huziharibu kazi zilizoisha kutekelezwa kwa sababu ya kujidai kwake kujua kuliko wenzake. Wenzake humuonya ili aache kurudia kutengeneza vilevilivyoisha kutengenezwa. Ndiyo maana wenzake hao humwambia kwamba, ‘utengenezaji wa muda mrefu ulipeleka mdomo upande.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha kujidai kujua kwa kurudia kufanya kazi zilizoisha kutengenezwa, ili wasije wakaziharibu kazi hizo, maishani mwao, kwa sababu ufundi ukizidi, matokeo yake ni kuharibu.

Mwanzo 11:4.

Mathayo 23:5.

Mathayo 6:16.

1 Wathesalonike 3:10.

Tito 1:5.

Waebrania 3:4.

1 Petro 5:10.

Mithali 16:18.

Mhubiri 29:23.

Luka 6:24.

bhubheja

ghana-farmers

bhubheja1

ENGLISH: TOO MUCH MAINTANANCE LED TO DESTRUCTION.

The source of this proverb is maintenance of something which is already in its complete stage. That maintanace can take too long in such a way that, instead of making it appear more attractive, it destructs it. This is why people can describe such a scenario using a proverb that ‘too much maintenance led to destruction.’

The proverb can be compared to a person who destroys the work he/she has finished doing it just because of spending much time re-doing it. This person can keep on repeating doing the same job, which finally destructs the former appearance of the job he/she was doing. People of this nature tend to underrate their works when done once. They would think that doing something more than once will lead to perfection but the reality on the ground is that sometimes it can lead to destruction of that particular work.

This proverb teaches people to stop pretending to know how to do works repetitively. Doing the same work more than once can lead to destruction. Therefore, people should avoid multiple maintenance of their works in order to avoid destructing them.

Genesis 11: 4. Matthew 23: 5. Matthew 6:16. 1 Thessalonians 3:10. Titus 1: 5. Hebrews 3: 4.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.