652. NDA UDIBHULAGA (UDITINA) BHO LWALA LUMO.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile wiyambilija bho njala ibhili ijinaguitina Inda. Abhanhu ulu bhuhaya guitina inda, bhagaitulaga halukulume, hunabhaikandikija ahalukulume ulungi.

Ulu lutiho ulukulume ulungi, ulogwiyambilija iguitina, inda yiniyo, mumho igwikala mhanga duhu. Hunagwene abhanhu abhayombaga giki, ‘Nda udibhulaga (uditina) na lwala lumo.’ Iyiniyo ili mujitabho ja ‘Kugundua mbegu za Injili,’ ijo jandikwa na Kamati ya Utafiki wa Utamaduni, Bujora. Ndanda – Peramiho, 1993, bhukurasa bho 106.

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagatumamaga nimo bho gwiyambilija chiza, umuwikaji bhobho. Abhanhu bhenabho, bhagiyambilijaga ugugutumama unimo guti  ugo gubhakuja chiza abhana bhabho. Kuyiniyo lulu, abhabhyaji bhose, na bhana ndugu, bhagalunganaga chiza ugunlela ung’wana, kunguno abhoyi bhadebhile igiki, gulinimo go gutumama kihamo ugung’winha ilange lya lwiza ung’wana ng’wunuyo, kugiki adule kukula chiza.

Idafaile ugunhekela unimo gunuyo bhabha, nulu mayu ong’wana ng’wunuyo yiyene, kunguno agubhiza wikolaga nu lwala ulumo, ulo ludadulile uguitina inda. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Nda udibhulaga (uditina) na lwala lumo.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyambilija umubhutumami bho milimo yabho, kunguno ubhutumami ubho yiyine, bhudamala nimo ntale, kugiki bhadule gupandika matwazo mingi, umukikalile kabho.

Kutoka 18:25-26.

1Wakarintho 12:12.

Wagalatia 6:2.

Matendo ya Mitume 4:32.

KISWAHILI: KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia kazi ya umoja wa gucha mbili katika kuvunja chawa.  Watu wakitaka kuvunja chawa, humweka juu ya dole gumba moja na kumkandamiza kwa kutumia dole gumba jingine.

Lisipokuwepo dole gumba la kusaidiana na lile jingine, chawa huyo hatavunjwa kwa kutumia kidole kimoja. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kidole kimoja hakivunji chawa.’ Hayo yanapatikana kwenye kitabu cha ‘Kugundua mbegu za Injili,’ kilichoandikwa na Kamati ya Utafiti wa Utamaduni, Bujora, Ndanda-Peramiho, 1993, ukurasa wa 106.

Methali hiyo, hulinganishwa kwa watu wanaofanya kazi kwa ushirikiano mzuri katika maisha yao. Watu hao, husaidiana katika kufanya kazi mbalimbali ikiwemo ile ya kumkuza mtoto vizuri. Kwa hiyo basi, wazazi wote, pamoja na wana ndugu huungana kwa pamoja katika kumlea mtoto, kwa sababu wao wanaelewa kwamba, kazi hiyo yahitaji ushirikiano wa wote katika kumpatia malezi mema mtoto huyo.

Haifai kumuachia kazi hiyo, baba au mama peke yake, kwa sababu kufanya hivyo, hufanana na kukiachia kidole kimoja kujaribu kuvunja chawa, ambacho hakiwezi. Hivyo mzazi mmoja peke yake hawezi kumkuza katika malezi mema mtoto wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kidole kimoja hakivunji chawa.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao, kwa sababu kazi ya mmoja haifanyiki pakubwa, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Kutoka 18:25-26.

1Wakarintho 12:12.

Wagalatia 6:2.

Matendo ya Mitume 4:32.

baboon nguku na ng'wana

kaya ya ethiopia

bhalimi1

ENGLISH: ONE FINGER DOES NOT BREAK A LICE.

The source of this proverb is the unity of two thumbs in breaking a lice. If one wants to break a lice he/she needs to place it in between the two thumbs and crush it to death. The absence of one thumb will make the other not to function accordingly. This is why people say ‘one finger does not break a lice’ to mean the unity in achieveing something. This proverb is also documented in a book, Kugundua Mbegu za Injili, translated as ‘Discovering the Gospel Seeds’ compiled by the Cultural Research Committee, Bujora, Ndanda-Peramiho, 1993, page 106.

This proverb can be compared to people who work in harmony in their lives. These people help each other to perform various tasks, including taking care of their children. If parents work together in taking care of their children there is a greater possibility of having a well nurtured family that abides by societal norms and failure to do so, there is a possibility of having a poorly nurtured society that does not follow norms and moral values of a given society. Therefore, parenting requires good cooperation between mother and father of children. Fathers have to play their parts accordingly so do mothers. Shouldering responsibilities to only one person means leaving one finger to break the lice, something which does not help to defeat the enemy.

This proverb teaches people about being cooperative in the execution of their duties. Cooperation can make people have achievements in life.

          Exodus 18: 25-26. 1Corinthians 12:12. Galatians 6: 2. Acts 4:32.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.