651. IZWI LIMO LIDALELAGA NG’WANA.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile bhutumami bho mazwi umugunlela ung’wana. Ulu munhu uhaha gumlela chiza ung’wana okwe, adadulile ugumukija halizwi limo, kunguno agugwa hasi wiminya, ulu wita chiniko.

Gashinaga lulu, umunhu ng’wunuyo agunlela ung’wana okwe bho gumukija hamazwi abhili, kugiki adizugwa hasi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘izwi limo lidalelaga ng’wana.’ Iyiniyo ili mujitabho cha ‘Kugundua mbegu za Injili,’ ijo jandikwa na Kamati ya Utafiki wa Utamaduni, Bujora. Ndanda – Peramiho, 1993, bhukurasa bho 106.

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kwikanza ilo ginhu jibhili jilidakiwa gutumama nimo kihamo, guti bhananzengo, bhabhyaji pye abhose, na bhana ndugu, ijinagwiyambilija ugunlela ung’wana. Gulinimo go bhabhyaji pye abhose na bhana ndugu kihamo na bhananzengo ugwiyambilija ugung’winha ilange lya lwiza ung’wana ng’wunuyo, kugiki adule kukula chiza.

Idafaile ugunhekela unimo gunuyo bhabha, nulu mayu ong’wana ng’wunuyo yiyene, kunguno agubhiza wikolaga ni lizwi ilimo ilo idadulile ugunlela ung’wana ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘izwi limo lidalelaga ng’wana.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyambilija bho bhana nzengo, bhabhyaji pye abhose, na bhana ndugu, umugunlela ung’wana, kugiki adule gukula ni lange lya wiza, umukikalile kakwe.

Kutoka 18:25-26.

1Wakarintho 12:12.

Wagalatia 6:2.

Matendo ya Mitume 4:32.

KISWAHILI: GOTI MOJA HALIMLEI MTOTO.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia kazi ya magoti katika kumlea mtoto. Mtu akitaka kumlea vyema mtoto wake hawezi kumbebea kwenye goti moja, kwa sababu ataanguka na kuumia akifanya hivyo.

Kumbe basi, mtu huyo atamlea mtoto wake huyo, kwa kumbebea kwenye magoti mawili, ili asije akaanguka. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘goti moja halimlei mtoto.’ Hayo yanapatikana kwenye kitabu cha ‘Kugundua mbegu za Injili,’ kilichoandikwa na Kamati ya Utafiti wa Utamaduni, Bujora, Ndanda-Peramiho, 1993, ukurasa wa 106.

Methali hiyo, hulinganishwa kwenye wakati ule ambao vitu viwili vinahitajika kutumika pamoja, kama vile wana kijiji, wazazi wote, na wana ndugu wanavyohitajika kusaidiana katika kumlea mtoto. Kazi hiyo, ni ya wazazi wote, na wana ndugu wakishirikiana na wana kijiji, katika kuifanikisha kazi hiyo ya kumlea vizuri mtoto, ili aweze kukua katika malezi mema.

Haifai kumuachia kazi hiyo, baba au mama peke yake, kwa sababu kufanya hivyo, hufanana na goti moja kumlea mtoto, ambalo haliwezi kumkuza katika malezi mema mtoto huyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘goti moja haliwezi kumlea mtoto.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na ushirikiano wa wana kijiji, na wazazi wote, pamoja na wana ndugu, katika kumlea mtoto, ili aweze kukua katika maadili mema, maishani mwake.

Kutoka 18:25-26.

1Wakarintho 12:12.

Wagalatia 6:2.

Matendo ya Mitume 4:32.

ENGLISH: ONE KNEE DOES NOT BRING UP A CHILD.

mayu na ng'wana okwe.jpg1.jpg2

picha ya kazi

elephants caring child

ENGLISH: ONE KNEE DOES NOT BRING UP A CHILD.

The basis of the above proverb looks at the knee’s function in raising a child. If someone wants to nurture a child well he/she cannot carry him/her by using one knee, because such child will fall and get hurt while doing so.

Nevertheless, such person shall nourish the baby, by using both knees, in carrying him/her.  That is why people say, ‘one knee does not bring up a child.’

These ideas are found in the book ‘Kugundua mbegu za Injili’, which means ‘Discovering the Gospel Seeds,’ that was written by the Cultural Research Committee, Bujora, Ndanda-Peramiho, 1993, page 106.

This proverb is compared to the time when two things are needed to be used together, such as having a village of all parents, and siblings needed for assisting in raising a child. The job is for all parents. They have to unite with their brothers and sisters in partnership with the village, in accomplishing the task of raising the child properly, so that he/she can grow up in a good atmosphere.

It is not appropriate to leave the job to the father or mother alone, because doing so is like using a single knee to raise a child, which cannot raise the child in the best care. That’s why people say, ‘one knee does not bring up a child.’

Such a proverb is likened to the one who is taught by many people in a given society. These people help each other in giving him/her good teachings for living peacefully with others. Hence the above proverb teaches people on having an ability to live well with people in families.

Those people who apply such proverb into their lives help each other in raising children by teaching them good values and habits. They do so to all children in their villages. Each one becomes a good teacher to the children of others.

Therefore, this proverb teaches people about the co-operation of village children, and all parents, as well as siblings, in raising a child, so that he/she can grow with good morals in life.

Exodus 18: 25-26. 1Corinthians 12:12. Galatians 6: 2. Acts 4:32.

One comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.