655. MBITI YAB`EJA MAGULU.

Imbuki ya lusumo lunulo, yililola mbiti umo igicholelaga ijiliwa. Imbiti yiniyo, igagatumilaga amagulu gayo bho gwicholela jiliwa jayo. Iyoyi igacholaga nyama ulu yujipandika igasekaga. Iyiniyo himbuki ya guhaya giki,  ‘mtiti yab´eja magulu.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo, agagatumamilaga amagulu gakwe bho gwicholela jiliwa, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agacholaga milimo ya gutumama na guipandika, kunguno ya wigulambija bhokwe. Uweyi agaitumamaga imilimo yakwe yiniyo, bho bhukalalwa bhutale, mpaga oishisha chiza.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni mbiti iyo igacholaga nyama mpaga yajipandika, kunguno nuweyi, agagatumilaga amagulu gakwe bho gwicholela sabho, mpaga ojipandika, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhalanjaga nabhiye inzila ja gwicholela ijikolo, mpaga bhajipandika. Hunagwene abhanhu bhagang’witagana giki, ‘mbili yab’eja magulu.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gugatumamila amagulu gabho bho gwicholeja jikolo ija gudula gubhambilija aha shigu ijahabhutongi, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho.

Kumbukumbu 10:18.

2 Wafalme 4:8.

Ayubu 42:11.

Luka 9:13-17.

Yohana 6:58.

KISWAHILI: FISI KATENGENEZA MIGUU.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia fisi anavyojitafutia chakula. Fisi huyo, huitumia miguu yake, kwa kujitafutia chakula chake. Yeye hutafuta nyama, akizipata hufurahi. Hicho ndicho chanzo cha kusema kwamba, ‘Fisi katengeneza miguu.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huitumia miguu yake kwa kujitafutia, mahitaji yake yakiwemo yale ya chakula, maishani mwake. Mtu huyo, hutafuta kazi za kufanya na kuzipata, kwa sababu ya kujibidisha kwake. Yeye huzitekeleza vizuri kazi zake hizo, kwa sababu ya bidii yake kubwa aliyo nayo.

Mtu huyo, hufanana na Fisi yule ambaye hujitafutia nyama mpaga anazipata, kwa sababu naye, huitumia miguu yake kwa kujitafutia mali, na kufanikiwa kuzipata, maishani mwake. Yeye huwafundisha pia wenzake njia za kujitafutia vitu mpaga wanavipata. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘Fisi katengeneza Miguu.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuitumia miguu yao, kwa kujibidisha kutafuta mahitaji yao yawezayo kuwasaidia katika siku za mbeleni, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao.

Kumbukumbu 10:18.

2 Wafalme 4:8.

Ayubu 42:11.

Luka 9:13-17.

Yohana 6:58.

hyena1

hyena2

hyena3

ENGLISH: THE HYENA EATS BY ITS FEET.

The source of this saying is the way hyenas search for their food. These wild animals tend to use their feet effectively in searching for food. They can travel for a long distance looking for food to sustain their lives. This is why people can describe the relationship between hyenas and their ability to search food using the saying that ‘the hyena eats by its feet.’

This saying can be compared to a person who uses his/her feet for self pursuits. These pursuits may include food or any other necessity. Such a person can use a lot of efforts to make sure that he/she gets what he/she wants.

The proverb teaches people about using their feet effectively in order to get their necessities in life. This will help them to have good life and take good care of their families.

Deuteronomy 10:18. 2 Kings 4: 8. Job 42:11. Luke 9: 13-17. John 6:58.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.