630. UGUBHALAGA MAGANA MABHOZU.

Imbuki ya lusumo lunulo, yingilile kubhubhaji bho gushika mpaka magana, aliyo gali mabhozu. Ubhubhaji bhunubho, bhuli bho gusoloja ginhu ijo jabhola mpaga jukoma magana mingi.

Umhaji uo magana amabhozu genayo, agiganikaga giki ali na jikolo, aliyo gashinaga nduhu adinajo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ugubhalaga magana mabhozu.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhalaga ginhu ijo adinajo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajisolojaga ijikolo ijo jili muwisagizu bhokwe duhu. Uweyi agiganikaga guti giki ugujipandika, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agabhalaga magana mabhozu, kunguno nuweyi agajisolojaga ginhu ijo jilimuwisagizu bhokwe duhu, ijo atali ugujipandika. Uweyi agitindika guchola jikolo bho gutumama milimo yakwe chiza. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘ugubhalaga magana mabhozu.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho, gukila gwisagilwa ginhu ijo bhadinajo, umukikalile kabho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Hesabu 11:6.

Ayubu 6:20.

Luka 6:34.

Ufunuo 3:17-18.

Luka 12:16-31.

KISWAHILI: UNAHESABU MAMIA YALIYOOZA.

Chanzo cha methali hiyo, chatokea kwenye uhesabuji bho vitu viliyooza mpaga kufikisha mamia. Uhesabau huo, ni wa kuhesabu mpaga kufikisha mamia ya vitu vilivyoharibika. Mhesabuji huyo, hudhani kwamba vitu hivyo vitamsaidia katika maisha yake, kumbe sivyo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘unahesabu mamia yaliyooza.’

Mtu huyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huhesabu vitu ambavyo hana, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anavihesabu vitu vile ambavyo yeye huvitumaini kwa maana ya kutaka kuvipata. Yeye huvifikiria vitu hivyo kana kwamba amevipata tayari, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule anayehesabu vitu vilivyooza, kwa sababu naye huhesabu vitu ambavyo huvitumaini tu, kuvipata, lakini bado hajavipata. Yeye hujichelewesha kutafuta mali kwa kujibidisha kufanya kazi. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘unahesabu mamia yaliyooza.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao, kuliko kutegemea vitu vya kufikirika wasivyokuwa navyo, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Hesabu 11:6.

Ayubu 6:20.

Luka 6:34.

Ufunuo 3:17-18.

Luka 12:16-31.

ntumami4

nimi

bhalimi1

bhalimi

 

ENGLISH: YOU COUNT HUNDREDS OF ROTTEN THINGS.

The source of this saying is counting of objects. This counting can include even things that are out of date or rotten. The person who is doing the counting might think that all the available items/objects are useful in life while in actual fact they are not. This is why people came with this saying that ‘you count hundreds of rotten things’ to mean the inclusion of rotten objects in counting.

This saying can be compared to a person who, in his/her life, tends to include things that do not exist rather he/she is in the plan of getting them. He/she includes hopes/wishes in his/her counting by assuming that he/she has them already. Such a person is compared to someone who includes even rotten things in his/her counting.

This saying teaches people to concentrate on doing their works rather than relying on things they don’t have in life.

Numbers 11: 6, Job 6:20, Luke 6:34, Revelation 3: 17-18, Luke 12: 16-31.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.