610. LYAGWIKUMBA NA GWANZA.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile wikumbi bho ng’wenda na wanzi bhogo. Ung’wenda ulu guli gutale gugatumamilagwa bho gugwikumba nu gugwanza aho bhulalo bhobho. Hunagwene abhanhu abhagayomba giki, ‘lyagwikumba na gwanza.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina nguzu ningi ijaguitumamila imilimo yakwe, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, alemile uguguleka unimo gokwe uyo ogwandyaga ugugutumama, kunguno adebhile isolobho ya gugumala chiza unimo guniyo.

Isolobho jinijo, jilikihamo na kupandika matwajo guti ga jiliwa aha ng’wakwe. Uweyi agabhizaga jigemelo ja gujitumila inguzu bho kuitumama na guimala chiza imilimo, ukubhiye. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, ‘lyagwikumba na gwanza.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gujitumila inguzu jabho bho gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gujibheja chiza, ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

1Timotheo 3:4.

Mithali 3:32.

Mathayo 3:11.

Marko 3:17.

Marko 5:4.

2Samweli 8:1.

Zaburi 135:10.

1Samweli 17:48-51.

KISWAHILI: LAKUJIFUNIKA NA KUTANDIKA.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia kitendo cha kujifunika na kutandika shuka. Shuka hilo, ni kubwa kiasi cha kutosha kutumika kwa kujifunika na kulitandika pale wanapolala. Ndiyo maana watu huliita, ‘lakujifunika na kutandika.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutumia nguvu zake katika kuyatekeleza vizuri majukumu ya kazi zake, maishani mwake. Mtu huyo. Hataki kuiacha kazi yake, hovyo, kwa sababu anafahamu faida za kuyatekeleza vizuri majukumu yake.

Faida hizo ni pamoja na kupata mafanikio mengi yakiwemo yale ya kupata chakula cha kutosha kuwalisha watu wake. Yeye ni mfano wa kuigwa kwa wenzake kwenye suala la kutumia nguvu zao katika kufanya kazi, katika maisha yao. Ndiyo maana watu humwita kwamba ni ‘lakujifunika na kutandika.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitumia vizuri nguvu zao kwa kuyatekeleza majukumu yao ya kazi, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

1Timotheo 3:4.

Mithali 3:32.

Ingekuwa heri leo msikie sauti yake msiifanya migumu mioyo yenu.

Mathayo 3:11.

Marko 3:17.

Marko 5:4.

2Samweli 8:1.

Zaburi 135:10.

1Samweli 17:48-51.

nguto4

nguto

nguto ha bhulili

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.