609. GAB’I MIFA MAKOYE GALIHO.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile mifa na makoye. Amifa genayo, jili ginhu ijo jigachimaga bhanhu nulu ndimu. Ubhuching’wa bho mifa bhunubho, ha makoye ayo gagenghangwa na mifa genayo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gab’i mifa makoye galiho.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo aha gwandya uli na nh’hungwa jawiza, uguhaimanila obhi na nh’ungwa ja bhub’i. Umunhu ng’wunuyo, adulile gupandika makoye aha shigu ijaha bhutongi, kunguno ya ng’hungwa jakwe ija bhub’i jinijo.

Iyabhub’i iyo agaitaga yiniyo, yilikihamo nu bhushiya, wib’i, ni yingi iyo ikolile ni yiniyo. Iyabhubhi yiniyo, ikolile na mifa, kunguno nago gagenhaga makoye bho gubhachima abhanhu, guti numo igabhaminijaga iyabhubhi yiniyo abhiye.

Umunhu ng’wunuyo, agabhenhelaga makoye abhanhu abho agikalaga nabho, bho gubhitilila imihayo iya bhub’i yiniyo. Inhungwa ijabhubhi jinijo, jigenhaga makoye ukuli munhu ng’wunuyo, kunguno adulile nulu guding’wa utulwa nulu gutungwa. Hunagwene abhanhu abhagayombaga giki, ‘gab’i mifa makoye galiho.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa jabhubhi, bho gubhitila mihayo ya wiza abhichabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhanhu bhabho, umuwikaji bhobho.

Ezekieli 18:21-24.

Ezekieli 18:27.

Yeremia 18:10-12.

Yeremia 26:3.

Ezekieli 18:27-28.

Ezekieli 18:30.

Ezekieli 18:32.

Luka 11:39.

Waroma 1:18.

KISWAHILI: YAMEKUWA MIIBA MATATIZO YAPO.

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia miba na matatizo. Miba hiyo ni vitu vinavyochoma watu au wanyama. Uchomaji huo wa miiba, ndiyo matatizo ambayo huletwa na miiba hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘yamekuwa miiba matatizo yapo.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye mwanzoni alikuwa na tabia njema, kushtukia ikageuka na kuwa mbaya. Mtu huyo, aweza kupata matatizo katika maisha yake,  kwenye siku za mbeleni, kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya.

Ubaya wa tabia yake, huonekana kwenye matendo mbalimbali yakiwemo yale ya uzinzi, wizi, na mengine ambayo yanaweza kumletea matatizo mtu huyo. Matendo hayo, hufanana na miiba inayoumiza watu, kwa sababu nayo huwaumiza wale aliowatendea ubaya huo.

Mtu huyo, huwaletea matatizo watu wale wanaoishi nao, kwa kuwatendea uovu huo. Uovu huo pia huweza kumletea matatizo hata yeye aliyeutenda yakiwemo yale ya kupigwa na wale aliowatendea uovu huo, na kufungwa jera. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘yamekuwa miiba matatizo yapo.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kutenda uovu, badala yake, watende wema, maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani na watu wao, katika maisha yao.

Ezekieli 18:21-24.

Ezekieli 18:27.

Yeremia 18:10-12.

Yeremia 26:3.

Ezekieli 18:27-28.

Ezekieli 18:30.

Ezekieli 18:32.

Luka 11:39.

Waroma 1:18.

mifa2

mifa

 

ENGLISH: PROBLEMS ARE LIKE THORNS.

The source of this saying is probem and how it can affect an individual person. Problems are considered to be bitter. They make people feel the same way one can feel after being pierced with a thorn. To describe this relationship between problems and how they pinch people, one can use a saying that ‘Problems are like thorns.’

This saying can be compared to a person who happened to be a good person but challenges in life have made him/her appear as a bad person because of being teared apart by problems. This person can turn to be fornicator, thief and other misconducts that can pierce this person to the extent of making him/her feel pain in his/her mind.

This saying teaches people to stop doing bad things instead, do good things in their lives so that they can live in peace with their people.

Ezekiel 18: 21-24,Ezekiel 18:27, Jeremiah 18: 10-12, Jeremiah 26: 3,Ezekiel 18: 27-28,Ezekiel 18:30

Ezekiel 18:32,Luke 11:39, Romans 1:18.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.