599. KALAGU – KIZE. GIMBULAGA NZWI GO HAJIGANGA NU NDINHO UGUB’INZE UGWENHE: – NYANDA UYOADINATOLA.

599. KALAGU – KIZE. GIMBULAGA NZWI GO HAJIGANGA NU NDINHO UGUB’INZE UGWENHE: – NYANDA UYOADINATOLA.

Imbuki ya kalagu yiniyo, yilolile nyanda uyo adinatola. Unyanda ng’wunuyo, agabhizaga na bhibhegeleja bhutale ubho bhudulile, gugumala chiza unimo go nhola yakwe.

Ubhibhegeleja bhunubho, bhuli kihamo na gudebha umo alikalile nu nke ijinaguibheja chiza ikaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘gimbulaga nzwi go hajiganga nu ndinho ugubhinze ugwenhe.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agibhegelejaga chiza haho atali ugwandya ugugutumama unimo gokwe. Umunhu ng’wunuyo, agitaga bhukengeji ubhogudula guidebha pye iyo idakililwe ibhize ilihoyi aha nimo gunuyo. Uweyi agabhizaga na matwajo mingi umubhutumami bhokwe, kunguno ya gwita wibhegeleja bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, ali na wizang’holo bho bhubhalanja na abhiye ahigulya ya gudebha gwita bhukengeji bho milimo yabho, haho bhatali uguyandya uguitumama.

Uweyi agabhalanjaga abhanhu gubhitila mukikalile kakwe kenako, ako kikolile nu nyanda uyo atali ugutola. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, ‘gimbulaga nzwi go hajiganga nu ndinho ugubhinze ugwenhe.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gujikuminga pye ijitumamilo ja milimo yabho, haho bhatali uguyandya uguitumama imilimo yiniyo, kugiki, bhadule gupandika matwazo mingi, umuwikaji bhobho.

 Mathayo 7:24.

Luka 6:46-49.

KISWAHILI: KITENDAWILI  –  TEGA.

CHIMBUA MZIZI WA MWAMBANI NA MWIKO UUVUNJE UULETE:- MVULANA ANAYETAKA KUOA.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia mvulana ambaye hajaoa. Mvulana huyo, hufanya maangalizi ya kutosha kumwezesha kuimaliza vizuri kazi ya arusi yake. Maandalizi hayo pia, ni ya kumwezesha kuelewa namna atavyoiendesha familia yake. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘chimbua mzizi wa mwambani na mwiko uuvunje uulete.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule anayefanya maandalizi mazuri kabla ya kuanza kufanya kazi yake. Mtu huyo, hufanya utafiti wa kumwezesha kuvielewa vifaa vyote vinavyotakiwa kuwepo kwenye kazi yake hiyo. Yeye hupata mafanikio mengi katika kazi zake, kwa sababu ya kufanya maandalizi hayo, katika maisha yake.

Mtu huyo, ana ukarimu wa kuwafundisha pia wenzake juu ya kuelewa namna ya kufanya utafiti unaotakiwa kabla ya kuanza kuzifanya kazi zao. Yeye huwafundisha watu kupitia mfano wa maisha yake, ambayo hufanana na ya mvulana yule ambaye hajaoa. Ndio maana watu huhadithiana kwamba, ‘chimbua mzizi wa mwambani na mwiko uuvunje uulete.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kufanya maandalizi ya kuvikusanya vifaa vyote vinavyotakiwa kwenye kazi wanayotaka kuitekeleza, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Mathayo 7:24.

Luka 6:46-49.

nyanda1

mpeja o bhasikeli

miti na mbehi

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

DIG THE ROOT FROM THE ROCK, BREAK THE WOODEN SPOON AND BRING IT – A BOY WHO WANTS TO MARRY.

The source of this riddle is the unmarried boy. For a boy who is planning for his wedding can have a lot of issues to deal with in order to have a good wedding ceremony. Among other issues is to create an environment that will make him take care of his family. Therefore, the efforts this boy can make in the preparation for his wedding can be described using the riddle ‘Dig the root from the rock, break the wooden spoon and bring it – a boy who want to marry.’

This riddle can be compared to a person who makes the best preparation before starting his or her career. The person can conduct research in order to enable him or her to understand all the materials that are required for his or her work. In so doing, he/she gets a lot of success in his/her work. Such a person teaches others about planning for future. He/she is likened to an unmarried boy who fights to make sure that his wedding is successfully and his life after wedding becomes successfully as well.

This riddle teaches people about having good plan for their future. They need to make sure that they assemble all the necessary resources that can make them achieve what they desire in future and be able to utilize them in a manner that makes them achieve their expectations.

Matthew 7:24, Luke 6: 46-49.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.