600. KALAGU – KIZE. KALI NA NOMO ALIYO KAGALUMAGA BHO NKILA:– KAKOMI.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola kashinu ako kagitanagwa kakomi. Akoyi kali nago unomo, aliyo kagatumamilaga uguluma bho nkila. Huguhaya giki. kali najitumamilo jimo duhu. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kali na nomo aliyo kagalumaga bho nkila:- Kakomi.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agadililaga nimo gumo bho gugutumama mpaga ogumala chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, alemile ugudima mihayo mingi umulikanza limo, kunguno ajidebhile isolobho ja gutumama nimo gumo ukwikanza limo. Isolobho jinijo, jilikihamo na gugumala wangu unimo gokwe uyo ogwandyaga gunuyo.

Uweyi akikolaga ni mhumi iyo igalumilaga kunkila duhu, kunguno nuwei, agatumama nimo gumo mpaga ogumala chiza, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhalanjaga na bhiye ugwikomeja gutumama nimo gumo mpaga bhagumale chiza. Hunagwene umunhu ng’wunuyo agabhaganilaga giki, ‘kali na nomo aliyo kagalumaga bho nkila:- Kakomi.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gudima nzila imo iyagubhiza na nhungwa jawiza duhu, kugiki bhadule gwikala kihamo nu Nsumbi wigulu na si. Yigelelilwe  abhanhu bhenabho, bhadilile nzila ya gunkub’ija Yesu Kristo uyo ali Nzila ya gubhashisha Ng’wigulu.

Yohana 15:1-17.

Wafilipi 3:7-11.

Ufunuo 3:14.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

ANA MDOMO LAKINI HUNG’ATA KWA KUTUMIA MKIA: – NGE.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia mdudu anayeitwa Nge. Mdudu huyo, ana mdomo lakini hutumia kung’atia mkia tu. Ndiyo kusema kwamba, yeye anakifaa kimoja tu cha kufanyia kazi. Ndiyo maana  watu huhadithiana kwamba, ‘ana mdomo lakini hung’ata kwa kutumia mkia:- Nge.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huitekeleza kazi moja hadi kuimaliza vizuri bila kuanza nyingile, katika maisha yake. Mtu huyo, hataki kushika kazi nyingi kwa muda mmoja, kwa sababu anazielewa faida za kutekeleza kazi moja kwa muda mumoja. Faida hizo, ni pamoja na kumwezesha kuimaliza kwa haraka kazi hiyo aliyoianza.

Yeye hufanana na Nge ang’ataye kwa kutumia mkia tu, kwa sababu naye hutekeleza kazi moja hadi kuimaliza vizuri, maishani mwake. Mtu huyo, huwafundisha pia wenzake namna ya kujibidisha kufanya kazi moja tu hadi waweze kuimala kwa haraka. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘ana mdomo lakini hung’ata kwa kutumia mkia:- Nge.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kushika njia moja tu iliyo njema, ili waweze kuishi pamoja na Muumba wa Mbingu na Nchi. Yafaa watu hao, waifuatilie njia ya kumfuata Yesu Kristo, ambaye ni Njia ya kuwafikisha Mbunguni.

Yohana 15:1-17.

Wafilipi 3:7-11.

Ufunuo 3:14.

scorpion3

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

IT HAS A MOUTH BUT IT STINGS WITH ITS TAIL – SCORPION.

The source of this riddle is an insect by the name of scorpion. This insect tends to use a tail when it wants to sting someone. It spares its mouth for eating and other uses but stinging is reserved for its tail. This is why people came with the riddle that ‘It has a mouth but it stings with its tail – scorpion’ to describe the behaviour of this insect.

This riddle can be compared to a person who carries out one task to its completion stage before starting another task. Such a person knows what it means to concentrate on only one task before shifting to another one. Such a person can be likened to a scorpion that knows which part of the body to be used for a certain purpose. A person of this caliber teaches others on how to commit to one task until it is finished.

This riddle teaches people about keeping one focus all the time. For religious people, they need to follow the path created by Jesus Christ who is the Way to Heaven.

John 15: 1-17, Philippians 3: 7-11, Revelation 3:14.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.