595. KALAGU – KIZE. NINA NG’WANI GOYEGOYE NG’WANA NG’WANIB’ILINGWA: – TIGITI.

Imbuki ya kalagu yiniyo, yililola itina lya tigiti, na bhana bhalyo. Ilitina linilo, ligabhizaga na magole ayo gagalanda landaga kihamo na matina gangi ayo gagalandaga guti lyoyi.  Aliyo lulu, ululyubhyana abhana bhalyo bhagabhizaga bhibhilingu, bhatale, bhanonu na bhingi noyi. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘nina ng’wani goyegoye ng’wana ng’wanib’ilingwa: – tigiti.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhakujaga bho gubhalela chiza abhana bhakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhalangaga nhungwa jawiza abhana bhakwe bhenabho, abho bhagakulaga bhamanile uguitumama chiza imilimo ya hakaya, nu gwikala chiza na bhanhu bha munzengo gobho.

Uweyi agikaloga ni litina lya tigiti linilo, kunguno nuweyi alina bhana abho agabhakujaga bho gubhinha ilange lya wiza. Abhana bhenabho bhagabhizaga bhawiza umukajile ka nhungwa jabho, guti ni tigiti umojiganonelaga, ukubhali bhajo. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘nina ng’wani goyegoye ng’wana ng’wanib’ilingwa: – tigiti.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhabyaji higulya ya gubhakuja bho gubhalanja nhungwa jawiza abhanhu bhabho, umukikalile kabho, kugiki bhadule gutumama milimo yabho chiza, na gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Zaburi 127:3-5.

Zaburi 128:3.

Ayubu 5:25.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

MAMA YAKE KAMBAKAMBA WATOTO MVIRINGO – TIKITI MAJI.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia shina la tikiti maji na matunda yake. Shina hilo la tikiti maji huwa ni kamba kamba ambazo hutanda zikiwa pamoja na mshina mengine yanayotanda kwa kulanda landa. Lakini basi, shina hilo huzaa matunda ya mviringo, ambayo huwa makubwa, mengi na matamu sana. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘mama yake kambakamba watoto mviringo – tikiti maji.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwakuza kwa kuwalea vizuri watoto wake. Mtu huyo, huwafundisha kushika tabia njema watoto wake hao, ambao hukua wakiwa wanafahamu kufanya kazi na kuishi vizuri na watu wa kijijini kwao.

Yeye hufanana na shina hilo la tikiti maji, kwa sababu naye ana watoto wambao huwakuza kwa kuwapatia malezi mema. Watoto hao, huishika na kuishi tabia hiyo njema, hali ambao huwawezesha kuwa wazuri, kama tikiti maji zilivyo tamu kwa walaji wake. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘mama yake kambakamba watoto mviringo – tikiti maji.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwakuza kwa kuwapatia malezi mema watoto wao, katika maisha yao, ili waweze kuyatimiza vizuri majukumu yao, na kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Zaburi 127:3-5.

Zaburi 128:3.

Ayubu 5:25.

tikiti4

tikiti3

tikiti

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

IT’S MOTHER IS JUST PIECES OF THREADS BUT HER CHILDREN ARE ROUNDISH IN SHAPE – WATERMELON.

The source of this riddle is a watermelon and its stem. The stem of water melon always appears like pieces of strings. These strings can be scattered around but they have one source; stem. Despite its appearance, being pieces of strings, it produces water melon, a fruit that is roundish in shape, big and sweet as well. That is why people came with this riddle ‘its mother is just pieces of threads but her children are roundish in shape – watermelon’ to communicate the relationship between watermelon and its stem.

This riddle can be compared to a person who takes care of his/her children. This person teaches his/her children on how to behave and live well with the people in their societies. This person is likened to a stem of watermelon that takes good care of its fruits despite its condition of being just pieces of threads. Its fruits are big and sweet enough to attract consumers. All these good attributes of the water melon fruit are associated with good parenting of its stem.

This riddle teaches people about nurturing children by providing them with good care. This will enable them to be acceptable members of the society.

Psalm 127: 3-5, Psalm 128: 3, Job 5:25.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.