596. KALAGU – KIZE. NG’HONA YATELELA HATATI YA B’ANA B’INGI:– LING’WANDU.

Imbuki ya kalagu yiniyo, yilolile ling’wandu. Ung’wandu gunuyo, guli nti ntale gete uyo gugikalaga na b’ana b’ingi. Ab’ana bhenabho pye b’agikalaga b’adamilile halininabho. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’hona yatelela hatati ya b’ana b’ingi:- Ling’wandu.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalabhilaga kaya yakwe chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigakalaga ali na bhutogwa bhutale ukubhiye, ubho bhugang’wambilijaga ugubhalanga abhanhu bhake nzila ja gutumama milimo na gwikala chiza na bhichabho.

Uweyi agikalaga abhadimilile abhana bhakwe guti numo gubhadimilile Ung’wangu ab’ana bhago. Akikalile kakwe kenako, kakabhalanjaga abhiye inzila ja gujilabhilila chiza ikaya jabho. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘ng’hona yatelela hatati ya b’ana b’ingi:- Ling’wandu.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gudebha gujilabhila chiza ikaya jabho, umukikalile kabho, kugiki bhadule gwikala bhitogilwe chiza na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Kumbukumbu la Torati 5:32.

Ezra 8:29.

Matendo 20:28.

Waefeso 5:29.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

NG’HONA AMETAGIA KWENYE BUIBUI WA WATOTO WENGI:- MBUYU.

  Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia Mbuyu. Mbuyu huo, ni mti mkubwa kabisa, ambao huwa na matunda mengi. Matunda hayo, huwa yamejining’iniza kwenye mti. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘ng’hona ametagia kwenye buibui wa watoto wengi:- Mbuyu.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huilinda kwa kuitunza vizuri familia yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa ana upendo mkubwa kwa watu wake, ambao humsaidia katika kuwafundisha namna ya kuyatekeleza majukumu yao, na kuishi na wenzao vizuri.

Yeye huwa ameshikamana na watoto wake, kama vile Mbuyu unavyoshikamana na matunda yake hayo. Maisha yake, huwafundisha watu njia za kuzilinda kwa kuzitunza vizuri familia zao. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘ng’hona ametagia kwenye buibui wa watoto wengi:- Mbuyu.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuelewa namna ya kuzilea kwa kuzitunza vizuri familia zao, katika maisha yao, ili waweze kuishi kwa upendo na wenzao, maishani mwao.

Kumbukumbu la Torati 5:32.

Ezra 8:29.

Matendo 20:28.

Waefeso 5:29.

ng'wandu1

baobab ng

baobab-ng'wandu

ENGLISH: I HAVE RIDDLE – LET IT COME.

THE BIRD THAT HAS BUILT A NEST WITHIN THE SPIDER’S FAMILY – BAOBAB TREE.

The source of this riddle is a baobab tree. This tree is featured by being big in size and it produces many fruits. Its fruits will always appear to hang from the baobab tree. This hanging of fruits from the branches of the baobab tree made people come with the riddle that ‘The bird that has built a nest within the spider’s family’ to communicate the connection among the following: the baobab tree, its branches and the fruits it bears.

This riddle can be compared to a person who takes good care of his/her family. This person is likely to have deep love to his/her people. Such a person can be attached to his/her children in the same way a baobab tree is attached to its branches and fruits.

This riddle teaches people about understanding how to raise and take care of their children. In so doing, they will be able to create and maintain good relationship with neighbours throughout their lives.

Deuteronomy 5:32, Ezra 8:29, Acts 20:28, Ephesians 5:29.

One comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.