589. KALAGU – KIZE. NAKADIMA KINEKEJA: – KALUSUNDA.

Imbuki ya kalagu yiniyo, yililola ginhu ijijigitanagwa lusunda. Ulusunda lunulo luli ginhu ja gutulila jiseme ulo lugatungilagwa ng’wigulya ya numba, umukaya. Uloyi ulu lukumiwa lugandyaga gwisugusa (gwifilinja) mpaga ku ikanza ilihu. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘nakadima kinekeja:- Kalusunda.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agakumiwagwa hadoo duhu wiza nzule, nulu opelana, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adadilaga ugwikenya na bhanhu, kunguno ya bhujidakumiwa bhokwe bhunubho.

Uweyi agikolaga nu lusunda, kunguno nuweyi agapelana wangu ulu okumiwa nulu hadoo duhu nabhiye. Abhanhu abho agidumaga nabho, nose bhandebha igiki aling’wangu upelana. Hunagwene bhagiganilaga giki, ‘nakadima kinekeja:- Kalusunda.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija ubho gubhambilija ugubhuleka ubhupelanu bho sagara, umukikalile kabho, kugiki bhadule gwikala chiza na bhichobho, umuwikaji bhobho.

Warumi 12:21.

Waefeso 4:26-28.

Wakolosai 3:8.

Yakobo 1:20-21.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

NIMEKASHIKA KAKABEMBEA:- KIBEMBEA.

Chanzo cha kitendawili hicho, kinaangalia kitu kichoitwa kibembea. Kibembea hicho, huwa kinafungwa kwa kunig’inizwa juu ya nyumba kwa ndani, ambacho hutengenezwa kwa nyuzi za mkonge. Kibembea hiyo, mtu akikigusa huanza kuchezacheza (kujiviringisha) kwa muda mrefu. Ndiyo maana watu huhadithina kwamba, ‘nimekashika kakabembea: kibembea.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye akiguswa kidogo tu hukasilika, katika maisha yake. Mtu huyo, hakawii kugombana na watu kwa sababu ya kutokuguswa kwake huko.

Yeye hufanana na kibembea hicho cha kuning’inizia vyombo, kwa sababu naye ukasilika upesi akiguswa hata kidogo tu, na wenzake. Watu wanaokosana naye, mwishowe hufahamu kwamba, mtu huyo ni mwepezi mno kukasilika. Ndiyo maana watu hao huhadithiana kwamba, ‘nimekashika kakabembea: kibembea.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuwasaidia kuacha hasira za hovyo, katika maisha yao, ili waweze kuishi vizuri na wenzao, maishani mwao.

Warumi 12:21.

Waefeso 4:26-28.

Wakolosai 3:8.

Yakobo 1:20-21.

sungo

sungo3

sungo1

 

ENGLISH: I HAVE RIDDLE – LET IT COME.

THE MOMENT I TOUCHED IT, IT BEGAN SWINGING – “LUSUNDA”.

The source of this riddle is a certain object called lusunda in Kisukuma. This object is made of woven rope always used to hang food stuff in the house (especially in grass-thatched houses) in order to protect that from being eaten by rats and cats. This lusunda tends to swing around when one touches it. This is why people came with the riddle that ‘the moment I touched it, it began swinging – lusunda.

This riddle can be compared to a person who reacts harshly when touched by someone else. Such a person is likely to cause a lot of chaos just because of being touched by someone. People of this behaviour don’t want to be disturbed.

This riddle teaches people about patience. It is through patience where one can have tolerance and being able to work together with other members in a given society.

Romans 12:21, Ephesians 4: 26-28, Colossians 3: 8, James 1: 20-21.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.