587. KALAGU – KIZE. KADANDA KADANDA KADALINHAGWA: – KASWA.

Imbuki ya kalagu yiniyo, yililola nguzu ja kaswa. Akaswa kenako, kagabhizaga kadina nguzu kunguyo ya bhunogoleku bhogo. Akoyi mumo kagalihila adiko umunhu gukalinha, kunguno kalidodo noyi. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kadanda kadanda kadalinhagwa:- kaswa.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agahadikijaga bhanhu gutumama milimo iyo ibhakilile. Umunhu ng’wunuyo, adulile nulu gubhinha nimo bhanigini, uyo gugatumamagwa na bhanhu abho bhalibhatale.

Uweyi agikolaga nu guhadikija kulinha ahakaswa, akokadina nguzu, kunguno nuwei agabhinhaga milimo abhanhu abho bhadina nguzu ijaguitumamila imilimo yiniyo. Hunagwene abhanhu bhang’wilaga bho gwiganila giki, ‘kadanda kadanda kadalinhagwa:- kaswa.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya kutumama milimo iyo bhaidulile, na guleka nhungwa ja gubhinha milimo iyo ibhakilile nguzu abhanhu bhabho, kugiki bhadule gwikala chiza na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Kutoka 34:2.

Kutoka 34:4.

Mathayo 19:26.

Luka 18:27.

KITENDAWILI – TEGA.

KADANDA KADANDA HAKAKWEWI: – UNYASI.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia nguvu za unyasi. Unyasi huo, huwa haina nguvu, kwa sababu ya ulaini wake. Wenyewe hata ulefuke kiasi gani, hauwezi kupata uimara wa kumwezesha mtu kuukwea. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kadanda kadanda hakakwewi:- unyasi.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hulazimisha watu kufanya kazi ambazo hawana uwezo nazo.  Mtu huyo, huweza hata kuwapa watoto kazi ambayo inatakiwa kufanywa na watu wazima.

Yeye hufanana na kitendo cha mtu kulazimisha kukwea unyasi, ambao hauna nguvu za kumbeba, kwa sababu naye huwalazimisha watu kufanya kazi ambazo hawana uwezo wa kuzitekeleza. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo, kwa huhadithiana kwamba, ‘kadanda kadanda hakakwewi:- unyasi.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kufanya kazi zile ambazo wanauwezo nazo, na kuacha tabia ya kuwapatia watu wao kazi zilizowazidi nguvu, ili waweze kuishi vizuri na wenzao, maishani mwao.

Kutoka 34:2.

Kutoka 34:4.

Mathayo 19:26.

Luka 18:27.

iswa

nigini

zambia-

 

ENGLISH: I HAVE RIDDLE – LET IT COME.

KADANDA KADANDA IS NOT CLIMBED- GRASS.

The source of this riddle is the strength of grass. The grass is always weak for a person to climb. However much one can struggle, he/she cannot succeed to climb grass. To justify this impossibility, people came with the riddle ‘kadanda kadanda is not climbed – grass.’

This riddle can be compared to a person who forces people to perform tasks that they are not capable of. The person may give children the work that even adults cannot manage to do it. Such a person can be likened to a person who forces to climb grass that cannot carry a person.

This riddle teaches people about doing works that they are capable of. They should avoid giving people tasks which they cannot manage. In so doing, they will be able to have respect and harmony with other people in a given society.

Exodus 34: 2, Exodus 34: 4, Matthew 19:26, Luke 18:27.

One comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.