580. LIKULU LITI NA NG’OMA.

Imbuki ya kahayile kenako, yingilile kuwikaji bho kaya iyo idini bhelele. Ilibhelele nilino, jilitulilo ja jiliwa guti bhusiga na mandege. Ilyoyi likolile ni ng’homa.

Ikale bhuli kaya yali ni lulu nulu, ib’elele ilyagujitulila ijiliwa jabho. Giko lulu, ulu namugi ati niluli mumho ikaya yiniyo ilidina jiliwa. Hunagwene abhanhu bhahayaga giki, “Likulu liti na ng’oma.”

Akahayile kenako, kagalanganijiyagwa kuli munhu uyo adikalaga na jiliwa jingi, umukaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo adigulambijaga chiza uguitumama imilimo iyagudula gumpandikila jiliwa ja gutumila shigu ningi.

Uweyi agikolaga ni ikaya iyo idini ibhelele, nulu iyo idina jiliwa jingi, kunguno nuweyi, adikalaga ni mhamba iya aha shigu ijahabhutongi, mukaya yake. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘Likulu liti na ng’oma.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gupandika jiliwa ja gudula gubhambilija aha shigu iyahabhutongi.

Ijinagongeza, igelilwe abhanhu bhenabho, bhikale na jiliwa ja mhayo go ng’wa Mulungu, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umukikalile kabho.

Mathayo 13:1-9.

Mathayo 7:21-29.

Mathayo 25:14-30.

Yohana 15:1-8.

KISWAHILI: IKULU HAINA NGOMA.

Chanzo cha msemo huo, chatokea kwenye maisha ya familia isiyo na ghala. Ghala ni kitu cha kuwekea chakula kama vile mahindi, na mtama kwa ajili ya kutumia kwa wakati ujao. Ghala hilo hufanana na ngoma.

Zamani kulikuwa na utamaduni wa kutunzia chakula cha famalia kwenye ghala. Hivyo, mzee wa familia ambaye hana ghala maana yake familia yake haina chakula. Ndiyo maana watu walisema kwamba, ‘ikulu haina ngoma.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huishi bila chakula chakutosha kuilisha familia yake. Mtu huyo, hajibidishi kuyatekeleza vizuri majukumu yake, ambayo yaweza kumpatia chakula cha kutumia kwa muda wa siku nyingi zijazo.

Yeye hufanana na familia ambayo haina ghala, ambayo ni familia isiyo na chakula kingi, kwa sababu naye huishi bila kuwa na chakula cha kutosha kuilisha familia yake, kwa muda wa siku nyingi zijazo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘ikulu haina ngoma.’

 Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibisha kuyatekeleza majukumu yao vizuri, ili waweze kupata mafanikio mengi yatakayowasaidia kwenye siku za mbeleni.

Zaidi ya hayo, watu hao wanatakiwa kuishi wakiwa na chakula cha kiroho ambacho ni neno la Mungu, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, katika maisha yao yote.

Mathayo 13:1-9.

Mathayo 7:21-29.

Mathayo 25:14-30.

Yohana 15:1-8.

nzala2

numba ibhinzikile bhu

nzala3

bible

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.