576. DASHINDIKAGA NSUMBA WITUNDILE.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile bhushindiki bho nhumba uyo witundile. Unsumba ng’winuyo, agabhiza adadamile chiza, kunguno ulu ushindikwa agashigila hasi duhu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘dashindikaga nsumba witundile.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo otumagwa nimo hanh’u na uja malali. Umunhu ng’wunuyo, agalekaga unimo uyo otumagwa gujugutumama. Uweyi agandyaga milimo yakwe iyo ayitogilwe weyi ng’winikili.

Umnhu ng’wunuyo, agikolaga nu gumshindika munhu uyo witundile uyo agashigila gugwa hasi duhu, kunguno nuwei agajaga malali bho gwiyibha igiki otumagwa nimo nhebhe nabhiye. Hunagwene abhanhu abho bhantumaga bhagayombaga giki, ‘dashindikaga nsumba witundile.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gutimija chiza imilimo iyo bhatumagwa na bhichabho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

1Timotheo 5:20-21.

2Wathesalonike 2:10-12.

Mathayo 23:37-39.

Yohana 1:10-12.

KISWAHILI: TUMESUKUMA KIJANA ALIYECHUCHUMAA.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia usukumaji wa kijana ambaye amechuchumaa. Kijana huyo, hukosa uimara wakati huo, kwa sababu akisumwa huanguka chini. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘tumesukuma kijana aliyechuchumaa.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliyetumwa kutekeleza jambo fulani, akaenda kimoja. Mtu huyo, husahau kazi aliyotumwa kwenda kuitekeleza kwa yeye kuamua kufanya kazi yake mwenyewe. Yeye hujiingiza kwenye kazi nyingine anayoipenda mwenyewe.

Mtu huyo, hufanana na kitendo cha kumsukuma mtu aliyechuchumaa ambaye huishia kuanguka chini, kwa sababu naye hutumwa kitu na kwenda kimoja, bila kukitekeleza kile alichotumwa kukifanyia kazi. Ndiyo maana watu waliomtuma husema kwamba, ‘tumesukuma kijana aliyechuchumaa.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuyatimiza vizuri majukumu waliyotumwa kuyatekeleza, ili waweze kupata mafanikio mengi katika maisha yao.

1Timotheo 5:20-21.

2Wathesalonike 2:10-12.

Mathayo 23:37-39.

Yohana 1:10-12.

nsumba

witundile

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.