575. LYASHIGA AHA MAHEWA AGANG’ONHELA NKE.

Imbuki ya kahayile kenako, ilinola bhong’hi bho mabhele ga nke, bho ngosha umo uyo witanagwa Mahewa. Ungosha ng’wunuyo, agatub’a gub’itila ahikanza lya nzala. Unke oli na ng’wana uyo onh’aga. Nuwei agang’onha unke nguno ya nh’ub’a. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘lyashiga aha mahewa agang’onhela unke.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agadumaga ugwiyumilija ulu obhandikaga makoye. Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu Mahewa uyo agatub’a mpaga unhong’ha unke, kunguno nuweyi adumile agwiyumilija umumakoye amadamu.

Umunhu ng’wunuyo, agadumaga ugubhalela abhana ahigulya ya gubhiza na wiyumilija, kunguno ya kikalile kakwe kenako. Abhanhu abho bhandebhile igiki agogohile amakoye, bhagilomelaga higulya yakwe. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagayombaga giki,  ‘lyashiga aha mahewa agang’onhela unke.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija

Kahayile kenako kadulanga higulya ya gub’iza na wiyumilija umumayanga gose, ayo bhalinago, umukikalile kabho, kugiki bhadule kujipandika wangu inzila ja gugamalila, na gujilanghana chiza ikaya jabho.

Zaburi 107: 5-6.

Mathayo 12:1-5.

KISWAHILI: UMEFIKA WAKATI AMBAO MAHEWA ALIMNYONYA ZIWA MKE WAKE.

Chanzo cha msemo huo, humwangalia mwanamume aliyeitwa Mahewa ambaye alimyonya ziwa mke wake. Mke mke wake huyo, alikuwa na mtoto aliyekuwa bado ananyonya. Mwanamume huyo, alijisikia njaa sana wakati wa kipindi cha njaa, akamua kumnyonya mke wake ziwa. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘umefika wakati ambao Mahewa alimnyonya ziwa mke wake.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hushindwa kuvumilia anapopata matatizo, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanana na mahewa ambaye alijisikia njaa mpaka akamnyonya mke wake ziwa, kwa sabahu naye hawezi kuvumilia katika matatizo anayopata ndani ya maisha yake.

Mtu huyo, hushindwa kuwalea watoto wake vizuri, ili waweze kuvumilia matatizo ya maisha ya kila siku, kwa sababu ya maisha yake hayo. Watu wanaomfahamu mtu huyo, kwamba hawezi kuvumilia, hali ambayo humpelekea kushindwa kuyakabiri matatizo yake, huongea juu yake.  Ndiyo maana watu hao, husema kwamba, ‘umefika wakati ambao Mahewa alimnyonya ziwa mke wake.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuwawezesha kuyakabiri vizuri matatozo yao, ili waweze kuwapa watoto wao, uwezo wa kutatua shida mbalimbali katika maisha yao kama watu wazima, maishani mwao.

Zaburi 107: 5-6.

Mathayo 12:1-5.

nzala

mom

 

nzala1

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

AS YOUNG AS I AM TO WHOM SHOULD I LAUGH – A COTTON FRUIT.

The source of this riddle is the cotton fruit. The cotton fruit when it is immature it doesn’t burst to release its wool because it is yet to mature. But when it is mature enough it bursts and releases its wool thus being compared to a person who laughs. This is why people are being warned against doing some things. They have to wait until the right time comes. Such people are warned using the riddle ‘as young as I am to whom should I laugh? – a cotton fruit’. This riddle can be compared to a person who has patience to wait until the right time to fulfill his/her duties comes. Such a person nurtures well his/her people until they are old enough to carry out their responsibilities, including marriage. And, marriage is reserved for adults, not children. Therefore, cotton fruit represents children who are yet to take responsibilities of adults. They have to wait until the time for them to take adult responsibilities comes.

This riddle teaches people about patience in raising their children. It includes good parenting style that can enable children to have societal acceptable morals.

1 Corinthians 13:11. Ephesians 5: 8-10.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.