Imbuki ya kalagu yiniyo, yilolile Nhob’o ya B’ulub’a iyo itali ndagana. Inhob’o yiniyo, ulu itali ndagana idatanduka, kunguno itali ugushigana aha bhutale bhoyo. Aliyo lulu, ulu yukula inhob’o yiniyo yigatanduka yafunya b’ub’a b’ope, ubho wikolile nu munhu uyo aliseka. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘natali ndo giki nansekele nani?:- Nhob’o ya B’ulub’a.’
Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali na wiyumilija bho gulindila mpaga lishige ligakanza lya gutumama nimo nhebhe, mukikalile kakwe. Uweyi agabhagukaja abhana bhakwe mpaga bhashiga ahikanza lya gutola, nulu gutolwa, kunguno adhebhile igiki abho bhagatolaga bhali bhanhu bhatale, idi bhadoo.
Abhana abhadoo bhikolile ni nhob’o ijo jitali ndagana, kunguno amasala gabho gatali ga nyanigini. Umunhu ng’wunuyo, agabhutumilaga chiza uwiyumilija bhokwe bhunuyo, bhogubhalanga abhiye higulya ya gulindila mpaga lishige likanza ilo lidakilwe uguitumamama imilimo yabho. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘natali ndo giki nansekele nani?:- Nhob’o ya B’ulub’a.’
Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gubhakuja chiza abhana bhabho, kugiki bhadule gudilila mihayo ya wiza na guleka iyo yili yabhubhi, umukikale kabho.
1Wakorintho 13:11.
Waefeso 5:8-10.
KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.
BADO MDOGO HIVI NIMCHEKELEE NANI?:- NHOB’O JA B’ULUB’A.
Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia tunda la pamba. Tunda hilo, likiwa changa halipasuki, kwa sababu bado halijakomaa. Lakini basi, likikua na kukomaa, tunda hilo hupasuka na hutoa pamba nyeupe, ambayo hufananishwa na mtu anayecheka. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘bado mdogo hivi nimchekelee nani?: – tunda la pamba.’
Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana uvumilivu wa kusubiri hadi ufike wakati sahihi wa kuyatekeleza majukumu yake, katika maisha yake. Yeye huwakuza watu wake vizuri hadi wanafikia umri wa kuyatelekeleza majukumu yao, yakiwemo yale ya kuolewa na kuoa, kwa sababu yeye anafahamu kwamba, wanaooana ni watu wazima, sio watoto.
Watoto hao hufanana na tunda la pamba ambalo bado ni changa, kwa sababu naye ana uvumilivu wa kuwafundisha wenzake juu ya kusubiri wakati mwafaka wa kuyatekeleza majukumu yao. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘bado mdogo hivi nimchekelee nani?: – tunda la pamba.’
Kitendwawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuwalea watoto wao hadi kuwakuza nyema, ili waweze kuzijali vizuri kazi ambazo ni njema, na kuacha uovu, katika maisha yao.
1Wakorintho 13:11.
Waefeso 5:8-10.
ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.
AS YOUNG AS I AM TO WHOM SHOULD I LAUGH – A COTTON FRUIT.
The source of this riddle is the cotton fruit. The cotton fruit when it is immature it doesn’t burst to release its wool because it is yet to mature. But when it is mature enough it bursts and releases its wool thus being compared to a person who laughs. This is why people are being warned against doing some things. They have to wait until the right time comes. Such people are warned using the riddle ‘as young as I am to whom should I laugh? – a cotton fruit’. This riddle can be compared to a person who has patience to wait until the right time to fulfill his/her duties comes. Such a person nurtures well his/her people until they are old enough to carry out their responsibilities, including marriage. And, marriage is reserved for adults, not children. Therefore, cotton fruit represents children who are yet to take responsibilities of adults. They have to wait until the time for them to take adult responsibilities comes.
This riddle teaches people about patience in raising their children. It includes good parenting style that can enable children to have societal acceptable morals.
1 Corinthians 13:11. Ephesians 5: 8-10.