566. KUMAJA USAJE UGUKUMYA NA HANGI.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhubhoni bho ginhu ijo jilijagukamaja. Umunhu ulu ubhona ginhu ijo jili jigeni ukuliweyi, agakamalaga na gwandya gukumya. Hunagwene abhiye bhagang’wilaga giki, ‘kumaja usaje ugukumya na hangi.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigwaga mhayo ngeni nulu gupya okumya mpaga obhitilija. Umunhu ng’wunuyo agadumaga nulu gusiminza chiza kunguno ya bhukumya bhokwe ubho mhayo gunuyo. Uweyi agabhizaga ugwiganika bhuli makanza umhayo gunuyo.

Aliyo lulu, ulu ubhona ginhu jingi ijipya, nulu ulu ugwigwa mhayo gungi ugupya gulebha ugogwandya, agakumyaga hangi kulebha nulu umo oliokumija igwandya. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘kumaja usaje ugukumya na hangi.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu guleka gukumya bho gubhitilija, kunguno imihayo iyagukumya idashilaga; kugiki bhadule gutumama milimo yabho chiza, nulu bhabhonaga ginhu ijo jilipya, umukikalile kabho.

(Luka 4:36; Marko 1:21-28).

KISWAHILI: SHANGAA UBAKIZE, UTASHANGAA NA MARA NYINGINE.

Chanzo cha methali hii chatokea katika uonaji wa kitu kinachoshangaza. Mtu akiona kitu kile ambacho ni kigeni kwake, yeye hushangaa sana. Ndiyo maana wenzake humwambia kwamba, ‘shangaa ubakize, utashangaa na mara nyingine.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye husikia neno jipya na kushangaa kupita kiasi. Mtu huyo hushindwa hata kufanya kazi zake, au hata kutembea vizuri, kwa sababu ya kushangaa kwake huko. Yeye huendelea kukifikiria kitu hicho kila wakati.

Lakini basi, akiona kitu kingine ambacho ni kigeni kwake, hushangaa tena; mara hii zaidi ya namna alivyoshangaa mwanzoni. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘shangaa ubakize, utashangaa na mara nyingine.’

Methali hii hufundisha watu kuacha kushangaa kupita kiasi, kwa sababu mambo ya kushangaza huwa hayaishi, ili waweze kufanya kazi zao hata wanapoona kitu cha kushangaza maishani mwao.

(Luka 4:36; Marko 1:21-28).

namibia-himba

nkima umasai

 

ENGLISH: BE SURPRISED A LITTLE SO YOU WILL BE SURPRISED ANOTHER TIME.

The foundation of this proverb relates to sighting of something amazing. When someone sees something that is new to him/her, he/she gets very astonished. That is why his/her colleagues tell him/her, ‘Be surprised a little so you will be surprised another time.’

The proverb is used to any person who hears about or sees something new and and gets surprised abnormally. Such a person gets astonished to the point that he/she is unable to perform his/her duties, or even walk properly, because of the astonishment. He/she keeps recalling the thing every time.

However, on seeing something else that new to him/her, the person wonders again; this time more than he/she did at first. That is why people tell him/her, ‘be surprised a little so you will be surprised another time.’

This proverb teaches people to refrain from being overly surprised, because wonders shall never end, By so doing they can concentrate on their jobs, even when they see something wonderful in life.

(Luke 4:36; Mark 1: 21-28).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.