559. LIMI BHADABHIMBELAGWA.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile ku bhuli bho jiliwa ahikanza lya limi. Umunhu ulu ulya wiguta gete ahikanza linilo ilya limi, adiko ugubhimbelwa kunguno, adulile guja gujutumama milimo mpaka utubha. Umunhu ng’wunuyo agushoka ikaya otubhaga. Hunagwene, abhanhu bhagayombaga giki, ‘limi bhadabhimbelagwa.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalitumilaga ilikanza ilya limi bho gutumama milimo chiza. Umunhu ng’wunuyo, agajitumilaga ijiliwa ijo ojilyaga bho gutumama milimo yakwe bho bhukamu bhutale, kugiki adule gupandika matwajo mingi ayo gadulile guyilang’hana chiza ikaya yakwe.Uweyi adebhile ugubhalanga abhanhu bhakwe gubhiza bhali kumilimo ahikanza lyabho ilya limi, bho gubhinha jigemelo ja wikaji na bhutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agifulaga ibhujiku, kugiki adule guyitumama chiza imilimo yakwe ahikanza ilya limi. Ulu wela ubhujiku, agalyaga wiguta, na kuja kumilimo yakwe, ogatumama mpaga utubha, na ogodoka. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘limi bhadabhimbelagwa.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu  gulitumila ilikanza ilya limi, bho gwigulambija gutumama milimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwazo mingi, umuwikaji bhobho.

(Ufunuo 3:20-21).

KISWAHILI: MCHANA HAWAVIMBIWI.

Chanzo cha msemo huu chatokea katika ulaji wa chakula wakati wa mchana. Mtu akila sana chakula wakati wa mchana, havimbiwi kwa sababu aweza kwenda kufanya kazi mpaka akajisikia njaa. Mtu huyo atarudi nyumbani akijisikia njaa. Ndiyo maana watu husema kwamba ‘mchana hawavimbiwi.’

Msemo huu hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huutumia muda wake wa mchana kufanya kazi zake vizuri. Mtu huyo hukifanyia kazi chakula alichokula, kwa kuyatekeleza majukumu yake ambayo humpatia mafanikio ya kuitunza vizuri familia yake. Yeye anafahamu kuwafundisha watu wake kuwa kazini wakati huo wa mchana, kwa sababu ya yeye mwenyewe kuwa mfano wa kufanya kazi vizuri, maishani mwake. Mtu huyo hupumzika wakati wa usiku, ili aweze kuyatekeleza vizuri majukumu yake wakati mchana.

Usiku ukipambazuka, yeye hula chakula na kwenda kazini kwake, ambako hufanya kazi mpaka anajisikia njaa, ndipo hurudi nyumbani. Ndiyo maana watu husema kwamba ‘mchana hawavimbiwi.’

Msemo huu hufundisha watu kuutumia vizuri wakati wao wa mchana kwa kuyatekeleza vizuri majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio makubwa maishani mwao.

(Ufunuo 3:20-21).

bhuli bho jiliwa

magwa limi

ENGLISH: THERE IS NO SUCH THING AS OVEREATING DURING DAY TIME.

The origin of this is eating habits during the day. If a person eats too much food during the day, they cannot said to have over eaten because they can go to work and work until they feel hungry. Tht person will come back home hungry. That is why people say, ‘there is no such thing as over eating during day time.’

The saying is used comparatively to refer to a person who spends most of his day working well. The person works and burns the food he/she eats, fulfilling his/her obligations and succeeds in takin good care of his/her family. Such a person knows how to teach others about being at work during the day time, because of himself/herself being the role model in his life. The person rests at night, so he can carry out his/her duties during the day.

In the morning, he/she eats food and goes to his/her place of work, where he/she works until he/she is hungry and then returns home. That is why people say,  Tthere is no such thing as over eating during day time.’

The saying teaches people o make the most of their day, by doing their jobs well so that they can get the most out of their lives.

(Revelation 3: 20-21).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.