531. MAKUNGU BHUYABHUYA.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile ng’hungu nulu makungu ga bhanhu abho bhapandikaga mayanga. Amakungu genayo gali ng’hungu ja bhanhu abho bhapandika mayanga matale ahakaya yabho. Gashinaga amakoye ulu gubhiza matale, gagenhaga bhusunduhazu ubho bhugenhaga kalilile ka higulya, ako kakalemelaga na kakongele. Hunagwene abhanhu bhagagitanaga giki, ‘makungu bhuyabhuya.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagadumaga ugwiyumilija ulu bhapandikaga mayanga umuwikaji bhobho. Abhanhu bhenabho bhagalilaga ng’hungu ja higulya ijo jigalemelaga akakongele kajo. Abhoyi bhagalilaga ukunu bhaliponanja sagala.

Ing’hungu ja bhanhu bhenabho jigongenjaga amayanga ukubhichabho, kunguno ya gwandya gubhakonga bho gubhadimila kugiki bhadizugwa na gwiminya. Akalilile kabho kenako kakenhaga yombo nhale ahakaya yiniyo. Hunagwene abhanhu bhagajitanaga ing’hungu jinijo giki, ‘makungu bhuyabhuya.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu kubhiza na wiyumilija bhutale ulu bhapandikaga mayanga akahaya jabho, kunguno agenayo gagaja kubhanhu, gadajaga ku miti, kugiki bhadule gugamala chiza, umuwikaji bhobho.

(Maombelezo 5:15-16; Zaburi 130:1-3; Mathayo 2:16-18).

KISWAHILI: KILIO KAYAYA.

Chanzo cha msemo huu chaangalia kilio au vilio vya watu waliopata matatizo mbalimbali. Matatizo hayo ni pamoja na yale ya kufiwa na mwenzao au ndugu yao. Kumbe matatizo yakiwa makubwa huleta huzuni na vilio vya sauti ya juu, ambavyo hushindikana hata kutulizwa kwa kubebelezwa. Ndiyo maana watu hukiita kwamba ni ‘kilio kayaya’, yaani kilio kikuu.

Msemo huu hulinganishwa kwa watu wale ambao hushindwa kuvumilia wanapopata matatizo maishani mwao. Watu hao hulia vilio kwa sauti ya juu ambavyo hata njia za kuvituliza hukosekana. Wao huwa na vilio vya hovyo.

Vilio vya watu hao huongeza matatizo kwa wenzao wanaowapatia kazi ya kuwabembeleza kwa kuwashikilia ili wasianguke na kuumia. Vilio vyao huleta kelele kubwa katika familia hiyo. Ndiyo maana watu hukiita kwamba ni ‘kilio kayaya.’

Msemo huu hufundisha watu kuwa na uvumilivu wanapopata matatizo mbalimbali katika familia zao ili waweze kuyamaliza vizuri, kwa sababu matatizo huenda kwa watu; hayaendi kwenye miti.

(Maombelezo 5:15-16; Zaburi 130:1-3; Mathayo 2:16-18).

baby-crying

 

ENGLISH: A LOUD WAIL.

The origin of this saying is wailing of people passing through sufferings due to various problems, such as death of a spouse or relative. When problems befall a family, they bring grief, sadness and loud noises, which are often impossible to calm down. That’s why people call such a cry ‘a loud wail.’

The saying is used comparatively to refer to those people who fail to endure when they have problems. Such people wail loudly to the extent that it becomesdifficult to calm them down. They tend to overdo it. Their wails exacerbate the problem for their counterparts who try to calm them down, because they hold them up so they do not fall and get hurt. Their wails bring a lot of noise to the family compund. That’s why people call such a wail ‘a loud wail.’

The saying teaches people to endure when they experience various problems in their families so that they can solve them to a desired end, because problems befall people, not trees.

Lamentations 5: 15-16. Psalm 130: 1-3. Matthew 2: 16-18.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.