530. KALAGU – KIZE: NINA NG’WANONE UMO IJILIWA JAKWE BHULOLO ALIYO AGAYOMBAGA PYE INDIMI – LYANDIKILO.

Imbuki ya kalagu yiniyo ilolile lyandikilo. Ilyandikilo lyinilo ligandikaga pye indimi. Ilyoyi lidakomanije lulimi loselose. Ulo utogwa umunhu oseose gulutumila  ugwandika, ilyoyi ligwandika duhu, bho gutumila bholele bholyo ubho bhulolo. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘nina ng’wanone umo ijiliwa jakwe bhulolo aliyo agayombaga pye indimi’ bhashosha, ‘Lyandikilo.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina bhutogwa bho gwikala na bhanhu bha ndimi ningi. Umunhu ung’wunuyo agabhambilijaga pye abhanhu bho nduhu ugubhakomanya. Uweyi agikolaga n’ilwandikilo ilo ligayombaga pye ndimi, kunguno nang’hwe agikalaga na bhanhu bha ndimi ningi bho gubhambilija chiza umuwikaji bhokwe. Uweyi adebhile ugubhalanja abhiye inzila ja gubhiza na witogwa bho gwiyambilija  kihamo umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki ‘nina ng’wanone umo ijiliwa jakwe bhulolo aliyo agayombaga pye indimi’ bhashosha, ‘Lyandikilo.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu gubhiza na witogwa bho gwikala na bhichabho, kugiki bhadule gwiyambilija chiza umuwikaji bhobho.

(Yohana 15:9-14; Waroma 15:1-2; Matendo ya Mitume 4:32).

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA: NINA MWANANGU MMOJA CHAKULA CHAKE NI TOPE LAKINI HUONGEA LUGHA ZOTE – KALAMU.

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia kalamu. Kalamu huandika lugha zote. Yenyewe haibagui lugha yoyote kwa kuishindwa kuiandika. Chochote ambacho mwandishi anapenda kuandika kwa lugha yoyote, yenyewe huandika tu kwa kutumia michoro yake huo ya tope. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘nina mwanangu mmoja chakula chake ni tope lakini huongea lugha zote’ na kujibu, ‘Kalamu.’

Kitendawili hiki hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana upendo wa kuishi na watu wa makabila mbalimbali. Mtu huyo huweza kuwasaidia watu wote bila kuwabagua. Yeye hufanana na kalamu ambayo huandika lugha zote, kwa sababu naye huishi vizuri na watu wa makabila mengi maishani mwake. Yeye anafahamu hata kuwafundisha wenzake namna ya kuwa na upendo wa kusaidiana pamoja katika maisha yao. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba ‘nina mwanangu mmoja chakula chake ni tope lakini huongea lugha zote’ na kujibu, ‘Kalamu.’

Kitendawili hiki hufundisha watu kuwa na upendo wa kuishi kwa umoja na wenzao, ili waweze kusaidiana vizuri katika maisha yao.

(Yohana 15:9-14; Waroma 15:1-2; Matendo ya Mitume 4:32).

pencil

pen

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: I HAVE A CHILD WHO FEEDS ON MUD BUT SPEAKS ALL LANGUAGES – A PEN.

The origin of this riddle is a pen. A pen writes all languages without discriminating any by way of failing to write it. Whatever the author likes to write, it simply writes. That is why people pose a riddle that, ‘I have a child who feeds on mud but speaks all languages’ and respond, ’A pen.’

This riddle, is used comparatively to refer to a person with passion for living with people of many ethnicities or even races. That person can help all his people without prejudice. He/she is like a pen that writes all languages, because he/she lives well with people of many ethnicities or races. He/she even knows how to teach others how to live live in love and to help each other in life. That is why people pose a riddle that ‘I have a child who feeds on mud but speaks all languages’ and respond, ‘A pen.’

This riddle teaches people to live in love and harmony with one another, so that they can help each other better their lives.

(John 15: 9-14; Romans 15: 1-2; Acts 4:32).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.