529. KALAGU – KIZE: NPINI GUMO AMAGEMBE MINGI:- NKUNGO GWIDOKE.

Imbuki ya kalagu yeniyo ilolile nkungo gwidoke. Unkungo gwidoke gugikalaga na bhana bhingi. Abhana bhenabho habho bhagalenganijiyagwa na magembe; unkungo uyo gugadimilile humpini. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘npini gumo amagembe mingi’ bhashosha, ‘Nkungo gwidoke.’

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina bhana bhingi abho agabhalang’hanaga umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agadulaga ugubhalabhila chiza abhana bhakwe, guti nu nkungo uyo gudimilile bhana bhingi, abho bhikolile na magembe mingi ayo galina mpini gumo. Uweyi ali jigemelo jawiza ijagubhalang’hana abhana n’ijikolo ijo bhagajitumamilaga umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhaggianilaga giki, ‘mpini gumo amagembe mingi’ bhashosha, ‘Nkungo gwidoke.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu gubhalabhila chiza abhanhu bhabho, bho gujilang’hana ijokolo ijo bhali najo, kugiki bhadule gujikwija, nulu jigabhiza jigehu aha wandijo bhojo.

(Mwanzo 1:28; Yohana 15:1-8).

KISWAHILI: KITENDAWILI  – TEGA: MPINI MMOJA MAJEMBE MENGI – MKUNGU WA NDIZI.

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia mkungu wa ndizi. Mkungu wa ndizi huwa na watoto wengi. Watoto hao ndio wanaofananishwa na majembe, wakati mkungu huo unaoshikilia ndio hufananishwa na mpini. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘mpini mmoja majembe mengi’ na kujibu, ‘Mkungu wa ndizi.’

Kitendawili hiki hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana watoto wengi anaowatunza katika maisha yake. Mtu huyo huweza kuwatunza watoto wake hao kama vile mkungu wa ndizi unavyashikilia ndizi zake zinazofananishwa na majembe mengi yatumiwayo na mpini moja. Yeye ni mfano wa kuigwa kwa wenzake katika kuishi vizuri na watu na kuvitunza vitu vyake katika maisha yake. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘mpini mmoja majembe mengi’ na kujibu, ‘Mkungu wa ndizi.’

Kitendawili hicho hufundisha watu kuwatunza vizuri watu wao na kuzitunza pia mali zao, ili waweze kuziongezea, hata kama zilikuwa chache mwanzoni.

(Mwanzo 1:28; Yohana 15:1-8).

bunch-of-bananas

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: ONE HANDLE BUT MANY HOES: A BUNCH OF BANANAS.

The origin of that riddle is a bunch of bananas. A bunch of bananas has many fruits. The fruits are compared to hoes, while the stalk holding them is likened to the handle. That is why people pose a riddle, ‘One handle but many hoes’ and reply, ‘A bunch of banana.’

This riddle is used comparatively to refer to a person who has many children but take good cares of them, just like how the bunch of bananas holds the fruits. Such an individual is a role model for his/her colleagues in living well with people, and taking care of his/her children and belongings. That is why people pose a riddle, ‘One handle but many hoes’ and reply, ‘A bunch of banana.’

This riddle teaches people about how to take good care of their people, and also take care of their belongings so that they can multiply them if they were few in the beginning.

(Genesis 1:28; John 15: 1-8).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.