523. GUNKAANYA MIMBI GULOBHEKA NGOYE.

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile mimbi o numba. Umunhu ng’wunuyo agamanaga udilila milimo yingi bho guguleka uyo ogupandika gwandya. Ugunduja gokwe, ulu ung’witana gwiza gubhimba numba, jilobhekage ingoye ija guyibimbila inumba yiniyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gunkaanya mimbi gulobheka ngoye.’

 Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo yakwe bho nduhu ugwigola chiza. Umunhu ng’wunuyo agatumamaga hadoni ogayiwa ginhu jilebhe, ijo yigelelilwe abhize najo haho atali ugwandya ugugutumama unimo gunuyo. Uweyi adulile nulu gugayiwa jipimilo ja numba, aliyo alinzengi o numba.

Abhanhu abho bhandebhile igiki adigolaga bho gujikalana pye ijitumamilo jakwe, bhagang’winhaga ijo ojilekelaga huna omala ugugutumama unimo guniyo. Hungwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gunkaanya mimbi gulobheka ngoye.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu gwibhegeleja chiza haho bhatali ugwandya ugutumama imilimo yabho, kugiki bhadule uguyitumama mpaka guishisha ahangelelo yajo.

(Luka 14:28-32; Waebrania 12:14-15).

KISWAHILI: KUMWEZA MWEZEKAJI NI KULOWEKA KAMBA.

Chanzo cha methali hii chaangalia mwezekaji wa nyumba. Mtu huyo huwa anajali zaidi kazi zingine, kwa kuzitelekeza zile alizozipata mwanzoni. Hivyo, ukitaka kumweza mtu huyo, anayetaka kuja kukuezekea nyumba yako, ziloweke zile kamba ambazo atazitumia kuiezekea nyumba hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kumweza mwezekaji ni kuloweka kamba.’

Methali hii hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake bila kuwa na maandalizi ya kutosha. Mtu huyo hufanya kazi kidogo na kudai kuishiwa kitu fulani, ambacho alitakiwa awe nacho kabla ya kuianza kazi hiyo. Yeye huweza hata kusahau kipimio wakati yeye ni mjenzi wa nyumba.

Watu wanaomfahamu mtu huyo kwamba hajiandai vizuri, humletea vifaa asivyokuwa navyo hapo kazini, na kumsimamia, ndipo anamaliza kazi hiyo vizuri. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kumweza mwezekaji ni kuloweka kamba.’

Methali hii hufundisha watu kufanya maandalizi ya kutosha kabla ya kuanza kufanya kazi zao, ili waweze kuzikamiliza kazi hizo kwa umakini unaotakiwa.

(Luka 14:28-32; Waebrania 12:14-15).

ngoye1

 

ENGLISH: DEFEATING A THATCHER REQUIRES ONE TO PUT THATCHING ROPES IN WATER BEFOREHAND.

The origin of this proverb is a thatcher. A thatcher usually pays attention to other tasks and neglects the tasks he acquired earlier. To get him, put the thatching ropes in water beforehand. That is why people say, ‘Defeating a thatcher requires one to put thatching ropes in water beforehand.’

The proverb is used comparatively with reference to a person who performs his/her duties without adequate preparation. The person works a little bit and claims shortage of something, which he/she is actually supposed to have before the start of the task at hand. For instance, a bricklayer may claim to have forgotten his/her water/spirit level.

People who know the person of such unpreparedness character bring to the site all the tools needed and supervise him/her until he/she finishes the job well. That is why people say, ‘Defeating a thatcher requires one to put thatching ropes in water beforehand’..

This proverb teaches people to prepare themselves before their assignments, so that they can complete the tasks as adequately and carefully as they should.

(Luke 14: 28-32; Hebrews 12: 14-15).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.