522. KALAGU – KIZE: WELA DIYU NALUTA NG’HOMANGO YUGAGWILA NG’WANZA – MISO.

Imbuki ya kalagu yiniyo ilolile miso. Amiso genayo ulu munhu umisha diyu agilalangijaga na gubhona mpaga kule gete. Ubhubhoni ubho kule bhunubho bhugikolaga ni ng’homango iyo igalutagwa yagagwila kule. Hunangwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘wela diyu naluta ng’homango yugagwila Ng’wanza’ bhashosha, ‘Miso’.

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agapangaga chiza imipango yakwe iyagubhutongi. Umunhu ng’wunuyo agikalaga amanile uko aligatumamila imilimo yakwe bhuli lushigu kunguno ya bhupangi bhokwe wiza ubho milimo yahabhutongi bhunubho. Uweyi agabhalanjaga na bhiye ukupanga chiza imilimo yabho iyahabhutongi, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho. Hunagwene agabhaganilaga abhanhu bhakwe giki, ‘wela diyu naluta ng’homango yugagwila Ng’wanza’ bhashosha, ‘Miso.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu kuyipanga chiza imilimo yabho iyahabhutongi, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho.

(Luka 3:16’ Mathayo 1:22-25; Waebrania 10:35-39).

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA: KUMEKUCHA NIKARUSHA KOMANGO LIKAENDA KUANGUKIA MWANZA – MACHO.

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia macho. Mtu akiamuka asubuhi macho yake huangalia na kuona mpaka mbali kwa mara moja. Uonaji huo wa mbali hufanana na urushaji wa komango linaloenda kuangukia mbali. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba ‘kumekucha nikarusha komango likaenda kuangukia Mwanza’ na kujibu, ‘Macho’.

Kitendawili hiki hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupanga vizuri mipango yake ya baadaye katika familia yake. Mtu huyo huelewa kule anakotakiwa kwenda kufanya kazi zake, kwa sababu ya huo mpango kazi wake wa baadaye.

Yeye huwafundisha pia wenzake  kuwa na huo mpango mkakati wa kazi zao za baafaye, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao. Ndiyo maana yeye huwategea watu wake kitendawili kwamba ‘kumekucha nikarusha komango likaenda kuangukia Mwanza’ na kujibu, ‘Macho.’

Kitendawili hiki hufundisha watu kuwa na mpango mkakati wa kazi zao za baafaye, ili waweze kupata mafaniko mengi zaidi katika maisha yao.

(Luka 3:16;  Mathayo 1:22-25; Waebrania 10:35-39).

miso

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: I THREW A GRINDING STONE IN THE MORNING, IT WENT AND FELL IN MWANZA – EYES.

The origin of this riddle is eye sight. When a person wakes up in the morning and looks around with his/her own naked eyes, he/she can see afar at once. This eye sight is likened to throwing of a grinding stone that goes and falls far away. That is why people pose ariddle, ‘I threw a grinding stone in the morning, it went and fell in Mwanza’ and respond, ‘Eyes.’

This riddle, is used comparatively to refer to a person who plans well his/her future. The person knows where he/she needs to go to work, because of his/her future plans. He/she also teaches his/her colleagues how to have strategic plans for their future activities, so that they can have more success in their lives. That is why he/she poses to his/her people a riddle, ‘I threw a grinding stone in the morning, it went and fell in Mwanza’ who respond, ‘Eyes.’

This riddle, teaches people to have strategic plans for their future activities for the plans can help them achieve the success they think of in their lives.

(Luke 3:16; Matthew 1: 22-25; Hebrews 10: 35-39).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.