503. KALAGU – KIZE. BHALI LINHA HIGULYA NA MAGODI MASOGA GAPE NA GAPI:- BALABABU.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ilolile jisumva ijo jigitanagwa balababu. Ijisumva jinijo jigikalaga jisoga kulwagubhiza na mimili yape na yapi, ijo jigalalaga. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘bhalilinha higulya na magodi masoga gape na gapi’ bhashosha giki ‘balababu’.

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga na bhanhu bhingi bho gujilanija nabho chiza. Umunhu ng’wunuyo adebhile igiki, bhuli munhu aliheke guti umo obyalilwa, kunguno abhanhu bhadikolaga pye abhose, nulu bhagabhiza bhali bha myaji umo.

Umugubyalwa na myaji umo chiniko, umo obho adulile gubhiza nihanga lingi ilo lidikolile na bhiye. Umunhu ng’wunuyo, agabhalanjaga abhiye gwikala halumo chiza, kunguno, pye abhose bhali bhanhu ng’wa Mulungu. Hunagwene bhagiganilaga abhanhu giki, ‘bhalilinha higulya na magodi masoga gape na gapi’ bhashosha, ‘balababu.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu guyegela gwikala halumo, nulu amakobha gabho gagabhiza galiheke chiniko, kugiki bhadule gwiyambilija ugujibheja chiza ikaya jabho umuwikaji bhobho.

(Wagalatia 5:16-26; Mathayo 25:31-46; Mathayo 13:24-30).

KISWAHILI: KITENDAWILI   –   TEGA: WANAPANDA JUU NA MAKOTI MAZURI MEUPE NA MEUSI – VIPEPEO.

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia viumbe waitwao vipepeo. Viumbe hao huruka na wengi wao huwa na rangi nzuri nyeupe na nyeusi. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘wanapanda juu na makoti mazuri meupe na meusi’ na kujibu, ‘vipepeo.’

Kitendawili hicho hulinganishwa kwa mtu aishiye na watu wengi vizuri. Mtu huyo anaelewa kwamba kila mtu hutofautiana na mwingine kama alivyozaliwa, kwa sababu watu huwa hawafanani wote, hata kama wamezaliwa na mzazi mmoja.

Watu hao hutofautiana katika kuzaliwa huko; wengine wanaweza kuwa na sura ambazo hazifanani na wenzao. Mtu aliye na sura tofauti huwafundisha wenzake kuishi vizuri katika umoja, kwa sababu wote ni watu wa Mungu. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘wanapanda juu na makoti mazuri meupe na meusi’ na kujibu, ‘vipepeo.’

Kitendawili hicho chafundisha watu kufurahia kuishi katika umoja wao vizuri, pamoja na kuwepo kwa tofauti za sura na rangi zao, ili waweze kusaidiana katika kuzindeleza vizuri familia zao maishani.

(Wagalatia 5:16-26; Mathayo 25:31-46; Mathayo 13:24-30).

 

 

butterfly-balababu

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: ‘THEY CLIMB HIGH WITH BEAUTIFUL WHITE AND BLACK COATS – BUTTERFLIES.

The origin of this riddle come from the creatures called butterflies. These creatures fly and most of them have beautiful white and black bodies. That’s why people pose a riddle, ‘They climb high with beautiful white and black coats and reply, ‘butterflies.’

The riddle is comparatively used with reference to a person who lives well in company of many people. Such a person understands that everyone is different; even those who are born from the same parents are never the same.

Such individuals are differing in their births and upbringing; among them, others may have features that are not the same as their siblings. These teach others to live in unity, because they are all God’s people. That is why people pose a riddle that, ‘they climb high with beautiful white and black coats’ and reply, ‘butterflies.’

This riddle, teaches people to enjoy living in harmony, despite their racial differences, so that they can help each other in their families’ well-being.

(Galatians 5: 16-26; Matthew 25: 31-46; Matthew 13: 24-30).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.