435. GWISHATYA GO NG’WANA NDILE AGALILA NG’HUNGU IDI YA NDUGUYE.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhuliji bho ng’hungu, bho ng’wana Ndile, iyo yalidi ya nduguye. Ung’wana Ndile wishatyaga kuja gujulila ng’hungu, ukubhanhu abho bhagandika mayange, gaguzumalikilwa na bhadugu bhabho. Bhuli munhu olilaga ng’hunu, ulu nduguye uzumalika.

Uwishatya bhokwe bhunubho, bhugang’wenheleja gulila ng’hungu iyo idiya nduguye. Hunagwene abhanhu bhagayomgaga giki, ‘gwishatya go ng’wana Ndile agalia ng’hungu idiya nduguye.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitulaga bhumani bho bhuli ginhu, nulu mhayo, gashinaga adagumanile.

Umunhu ng’wunuyo ahayile giki, bhuli mhayo gwene aguyombe weyi. Abhiye abhabyedile. Hunagwene ulu uhubhila ginhu jose jose, abhanhu bhagayombaga giki, ‘gwishatya go ng’wana Ndile agalila ng’hungu idiya nduguye.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gwituula bhumani bho bhuli mhayo, kugiki bhadule gubhiza na widohya bho gwilanga mingi, gufumila kubhichabho abho bhayidebhile.

Yeremia 22:10.

Luka 23:28.

KISWAHILI: KUJITIA KUJUA KWA NG’WANA NDILE A LILIA KILIO AMBACHO SI CHA NDUGUYE

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye uliaji wa mwana Ndile, ambao haukuwa wa ndugu yake. Mwana Ndile alijitia kulia kwenye kilio cha watu waliofiwa na ndugu zao. Kila mmoja alitakiwa kulia kwenye kifo cha mtu, ambaye ni ndugu yake.

Hivyo kujitia kwake mtu huyo, kulimleteleza kulia kwenye kilio ambacho siyo cha ndugu yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kujitia kujua kwa mwana Ndile alilia kwenye kilio ambacho siyo cha nduguye.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujidai kufahamu kila kitu, au neno, wakati halifahamu vizuri. Mtu huyo hutaka aongee yeye tu, kwenye kila jambo.

Yeye huwadharau wengine. Ndiyo maana akikosea kitu fulani, watu husema kwamba, ‘kujitia kujua kwa mwana Ndile alilia kwenye kilio ambacho siyo cha nduguye.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kujitia kujua, kwenye kila neno, ili waweze kuwa na unyenyekevu wa kuwawezesha kujifunza vizuri, kutoka kwa wale wanaoelewa.

Yeremia 22:10.

Luka 23:28.

statue-

 

woman relief

ENGLISH: STEPPING INTO OTHERS’ MATTERS MADE NG’WANA NDILE MOURN A MOURNING WHICH IS NOT OF HIS RELATIVE

The source of the proverb comes from the mourning of the son of Ndile. The son of Ndile moarned for a mourning that he was not supposed to moarn for. In this society, moarning was reserved to people who happened to have lost one of their relatives but the son of Ndile, because of his behaviour of pretending to be omniscient (someone who knows everything), he joined the moarners for the death of a person he doesn’t know.

This proverb can be compared to a person who claims to know everything while in actual fact he/she is not. This is why people who pretend to know everything in life are being warned by telling them not to be like Ndile’s son because one day they can be ashamed by their behaviour.

The proverb teaches people about giving up the habit of pretending to know everything in life. They need to be patient and wait for those with knowledge about something to tell them the truth about something. This can help one to learn from others and understand things better.

Jeremiah 22:10.

Luke 23:28.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.