426. YINIYO KAYA YA NDEZU PYE.

Imbuki ya kahayile kenako yilolile ndezu ja bhanhu bha hakaya ndebhe. Abhanhu bhenabho bhuli ng’wene alina ndezu pye na bhana.

Indezu jigolechaga bhutale bha ng’wa munhu. Aliyo lulu, abhanhu bhenabho, na bhana bhali najo ndezu jinijo, nabho bhalibhatale.

Gashinaga ikaya yiniyo yili ya ndilo, kunguno bhuli yene yili najo indezu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘yiniyi kaya ya ndezu pye.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa ku kaya iyo idiigwile. Abhanhu bha hakaya yiniyo bhuli ng’wene wimanile giki alintale.

Akikalile kenako akagwimana bhutale bhuli ng’wene, kikolile na guzwa ndezu bhuli ng’wene. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘yiniyi kaya ya ndezu pye.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gwibhona bhutale bhuli ng’wene, kugiki bhadule gwikala bho ng’wigwano, umukaya jabho.

Mark 9:33.

KISWAHILI: FAMILIA HII NI WENYE NDEVU WOTE.

Chanzo cha msemo huo chaangalia ndevu za watu wa familia fulani. Watu hao wana ndevu kila mmoja hata awe mtoto. Ndevu hizo huonesha ukubwa wa watu hao. Lakini basi, watu hao na watoto wao wanazo hizo ndevu.

Kumbe familia hiyo ni ya samaki, kwa sababu wao kila mmoja ana ndevu, hali ambayo huonesha kwamba, kila mmoja ni mkubwa. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘familia hii ni ya wenye ndevu wote.’

Msemo huo hulinganishwa kwenye familia ambayo hawasikilizani. Watu wa familia hiyo, kila mmoja hujifikiria kuwa ni mkubwa.

Maisha hayo ya kujifikiria kuwa kila mmoja ni mkubwa, hufanana na kuota kwa ndevu kwa kila mmoja. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘familia hii ni ya wenye ndevu wote.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuachana na tabia za kujiona kuwa wao kila mmoja ni mkubwa, ili waweze kuishi kwa uelewano kwenye familia zao.

Mark 9:33.

catfish1

fish koi-carp

 

ENGLISH: THIS IS THE ALL BEARD-BEARING FAMILY MEMBERS.

The source of the above saying looks at the beard of some family members. All members in this family have beards, including children. Beards show the power of people. This family can be likened to the family of catfish where each member in this family has beards.

The saying can be compared to a family that does not listen to one another. Each member of this family considers himself/herself powerful to the other and therefore difficult to reach concessus in different family matters. This family can easily be described by the saying that ‘this is the all beard-bearing family members.’

The saying teaches people to break free from the tendency of feelling that they are greater than others. In so doing, they can be able to live harmoniously with their families.

Mark 9:33.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.