421. NILINDAGI NAGAPONYE NIGO.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhuponya bho nigo go bhanhu. Olihoyi munhu uyo oliotung’wa guchala ginhu halebhe. Umunhu ng’wunuyo oli nabhiye umulugendo lunulo. Aho oshiga uko kaya iyo oguchalaga unigo gunuyo, agabhawila abhiye giki, ‘nilindagi nagaponye nigo.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatimijaga chiza, imilimo iyo utung’wa na bhiye guitumama. Umunhu ng’wunuyo agabhambilijaga abhanhu, ukunhu alikihamo na bhiye abho alinabho. Hunagwene agayombaga giki, ‘nilindagi nagaponye nigo.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gujishisha chiza imhola ijo bhatung’wa gujichala halebhe, kugiki bhadule gwiyambilija halumo na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Zaburi 43:3.

Mathayo 11:28.

KISWAHILI: NINGOJENI NIKATUPE MZIGO.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye utupaji bha mzigo wa watu wa sehemu fulani. Alikuwepo mtu mmoja aliyetumwa kupeleka kitu fulani kwa watu. Mtu huyo alikuwa pamoja na wenzake, katika safari hiyo. Alipofika pale alipotumwa kuupeleka ule mzigo aliwaambia wenzake kwamba, ‘ningojeni nikatupe mzigo.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutimiza vizuri kazi aliyotumwa na wenzake kuifanya. Mtu huyo huwasaidia watu, huku akiwa pamoja na wenzake. Ndiyo maana mtu huyo huwaambia wenzake kwamba, ‘ningojeni nikatupe mzigo.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kufikisha vizuri ujumbe waliotumwa kuupeleka kwa watu, ili waweze kusaidiana katika kuutunza umoja huo, maishani mwao.

Zaburi 43:3.

Mathayo 11:28.

 

outdoors

carrying

 

ENGLISH: WAIT FOR I AM GOING TO THROW THE LUGGAGE.

The source of this saying comes from dumping someone’s luggage. There was a man who was asked to send a certain luggage to someone else. Such a man was with his friends walking towards that direction where he has to send the luggage. When he reached the destination, he told his friends that ‘wait for I am going to throw the luggage’ to mean handing over to the respective people.

The saying can be compared to a person who properly fulfills the tasks assigned to him/her by his/her colleagues.

The saying teaches people about effective communication by delivering the required information on time to the required people.

Psalm 43: 3.

Matthew 11:28.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.