422. NAKAKUMBULAGA AKANIGO KANE.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhukumbuji bho nigo gokwe, umunhu nebhe. Ubhukumbuji bho nigo gunuyo, bhuli bho ng’wa munhu uyo oya kale ugugubhona unigo gokwe gunuyo. Hunagwene umunhu ng’wunuyo agayombaga giki, ‘nakakumbulaga akanigo kane.’

Akahahile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alintonda ng’wiye ginhu guti hela, bhusiga, nulu ng’wenda uyo ogulanda. Umunhu ng’wunuyo agayombaga giko, kubho guntonda ung’wiye anshokeje iginhu jakwe jinijo, kunguno ya gudila ugujishosha ukuli weyi. Hunagwene umunhu ng’wunuyo, agayombaga giki, ‘nakakumbulaga akanigo kane.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gushosha wangu iginhu ijo bhalanda ukubhinikili, kugiki.bhadule gwikala halumo bho bhutogwa na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Mithali 11:24.

Mithali 12:9.

KISWAHILI: LETA ULE MZIGO NIMEUKUMBUKA.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye ukumbukaji wa mzigo wake mtu fulani. Ukumbukaji wa mzigo huo, ni wa mtu ambaye hajauona mzigo wake huo tangu siku nyingi. Ndiyo maana mtu huyo husema kwamba, ‘leta ule mzigo nimeukumbuka.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye anamdai mwenzake kitu kama hela, mtama, au nguo aliyoazima. Mtu huyo husema hivyo kama njia ya kumdai mwenzake huyo amrudishie deni lake, kwa sababu ya kuchelewa kulirudisha kwake. Ndiyo maana mtu huyo husema kwamba, ‘leta ule mzigo nimeukumbuka.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kurudisha haraka kitu walichokopa kwa wenyewe, ili waweze kuishi katika umoja na wenzao, maishani mwao.

Mithali 11:24.

Mithali 12:9.

basket

luggage

 

ENGLISH: BRING MY LUGGAGE, I HAVE REMEMBERED IT.

The source of the above saying comes from the memory of someone whose property was borrowed by someone else. It might have taken quiet sometime without returning it. This is why the owner of the property can use the saying ‘bring my luggage, I have remembered it’ to communicate his/her need to getting back his/her property.

The saying can be compared to a person who demands for his/her property such as money, sorghum, or clothes from someone else. The debtor is forced to pay it back.

The saying teaches people about repaying their debts in order to create a ground for unity and cooperation in the society.

Proverbs 11:24.

Proverbs 12: 9.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.