364. ILALILE IDABHINZAGWA NKILA.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhuleki bho guyib’inza nkila iyo yilalile. Ubhub’inzi bho nkila bhunubho, bhulisawa na guyimisha, kunguno ulu gugondwa unkila gunuyo, igusatya mpaga yumisha. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ilalile idab’inzagwa nkila.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alembelile hanhu. Umunhu ng’wunuyo idichiza ugunhadikija gwita ginhu, ijo uweyi adujihayaga. Gashinaga lulu, ilichiza umunhu ng’wunuyo wiyangule ng’winikili ugugutumama unhimo uyo aligudula weyi bho nduhu uguhadikijiwa na bhanhu. Hunagwene abhanhu ulu b’umhola munhu adudililaga mhaho uyo aligubhona, bhagayomba giki, ‘ilalile adab’inzagwa nkila.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gutumila wiyabhi bhobho ijinagwikala, nulu ijinagugutumama unhimo uyo bhaligutogwa bhoyi. Gashinaga lulu, yigelelilwe kuleka ugubhahadikija abhichabho guyita iyo b’adayitogilwe, umuwikaji bhobho.

Ayubu11:19.

Mithali 3:24.

Yeremia 51:57.

Marko 14:41.

KISWAHILI: ILIYOLALA HAIVUNJWI MKIA.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye uachaji wa kuvunja mkia wa ile iliyolala. Uvunjaji huo wa mkia uko sawa na kuiamusha hiyo iliyolala, kwa sababu ya kupata maumivu yatokanayo na kukunjwa kwa mkia huo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘iliyolala haivunjwi mkia,’ kwa sababu ikikunjwa itapata maumivu ya kuiamusha haraka.

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye ametulia sehemu fulani. Mtu huyo haipendezi kumlazimisha kufanya kitu ambacho yeye hataki kukifanya. Kumbe basi, ni vizuri kwa mtu huyo kumuacha aamue yeye mwenyewe kile apendacho kukitekeleza, au kazi ambayo yeye apenda kuifanya. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘iliyolala haivunjwi mkia.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kutumia uhuru wao vizuri, katika kuishi maisha wayachaguayo, au kufanya kazi waonayo kuwa wao itawasaidia, katika kuyaendesha maisha yao, ili mladi hawavunji sheria za nchi, au za maisha yale waliyoyachagua wao wenyewe.

Ayubu11:19.

Mithali 3:24.

Yeremia 51:57.

Marko 14:41.

cow

 

ENGLISH: A TAIL OF THE SLEEPING ONE IS NOT BROKEN.

The source of the above saying comes from failing to break the tail of a sleeping animal, for example, ship. The breaking of the tail is the same as forcing the sleeping animal to wake up and respond promptly. This response can be due to pain the animal can go through. This is why people say ‘a tail of the sleeping one is not broken’ because if it is twisted it will have the pain that can force the animal to move away as quickly as possible.

The saying can be likened to a quiet person. Such a person does not like to be forced to do something he does not want to do. It is better to leave people have freedom to decide on what things they would like to do in their lives.

The saying teaches people how to exercise their freedom by living the life they choose, or to do the work that they think will benefit them in running their lives in a manner that does not violate the laws of their nations or of their own chosen life.

Job 11:19.

Proverbs 3:24.

Jeremiah 51:57.

Mark 14:41.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.