365. ILELO OTUMAMA NA LO NYUMA.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhutumami bho nimo mulushigu lo Nyuma. Ulu munhu uyo adasalilaga umona ng’wiye otumamaga nimo ntale, agung’wila giki, otumamaga na lushigu ulo guleka milimo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ilelo otumama na lo Nyuma,’ mumho otumamaga nimo ntale.

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo ukunhu ankujije Mulungu. Umunhu ng’wunuyo agabhalanjaga na bhiye ahigulya ya kub’iza na bhukamu bho gutumama milimo yabho umushigu ija milimo, kugiki, bhaje bhagasalile ulushigu ulo Nyuma. Hunagwene umunhu ng’wunuyo ulu omona ng’wiye alikumilimo umulushugu ulo Nyuma, agang’wilaga giki, ‘ilelo otumama na lo Nyuma.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gunkuja Mulungu umumilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho.

Luka 13:13-14.

KISWAHILI: LEO UMEFANYA KAZI NA JUMAPILI.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye ufanyaji wa kazi kwenye siku ya Jumapili. Mtu ambaye hasali akimuona mwenzake amefanya kazi kubwa, humwambia kwamba, “leo umefanya kazi na Jumapili,’ maana yake amefanya kazi kubwa.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye hufanya kazi zake kwa kumtukuza Mungu. Mtu huyo huwafundisha pia wenzake juu ya kuwa na bidii ya kufanya kazi zao, kwenye siku za kawaida ili siku ya Jumapili waende kusali. Ndiyo maana mtu huyo akimuona mtu amefanya kazi siku hiyo ya Jumapili, humwambia kwamba, ‘leo umefanya kazi na Jumapili.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kumtukuza Mungu wafanyapo kazi zao, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao.

Luka 13:13-14.

south-africa working

 

ENGLISH: TODAY YOU HAVE WORKED ON SUNDAY.

The source of the above saying comes from working on Sunday. A person who sees another person doing a great job can tell him/her that ‘today you have worked on Sunday ‘ to mean appreciation for his/her working hard on week days to compensate for Sunday.

The saying can be compared to a person who does his/her work in the glory of God. Such a person also teaches people how to work hard in week days in order to rest on Sunday; a day set for prayers for Christians. This is why when people see another person working hard in week days they can tell him/her that ‘today you have worked on Sunday.’

The saying teaches people to glorify God as they work so that they can have more success in life.

Luke 13: 13-14.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.