341. NG’OSHA YA MVA IDIGUSHAGA NA MBUNDA

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kuwikaji bho mva ng’osha na mbunda. Imva ing’osha yiniyo igikalaga ilemile ugwigusha ni mbunda, munho igubhaluma bhandya guipela. Igubhalija kunguno iyoyi ilimyaji yabho. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’osha ya mva idigushaga na mbunda.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli namugi ohakaya uyo alina bhana wake. Unamugi ng’wunuyo alinikujo lwakwe ahakaya yakwe yiniyo. Kuyiniyo lulu, idichiza ugwigusha na bhana wake unamhala ng’wunuyo, kunguno bhagundalaha. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ng’osha ya mva idigushaga na mbunda.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka wimaniliji bho sagala na bhana bhabho, kugiki bhadule gwikala ni kujo lya gubhalanga chiza umuwikaji bhobho.

Waefeso 6:4.

KISWAHILI: DUME LA MVA HALICHEZI NA WATOTO WA MBWA

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye maisha ya dume la mbwa na watoto wa mbwa. Dume hilo hukataa kucheza na watoto wa mbwa, kwa sababu lenyewe ni kubwa kwao, vinginevyo litawauma mpaka wataanza kulikimbia. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘dume la mbwa halichezi na watoto wa mbwa.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mzee mwenye familia na watoto wake. Mzee huyo huwa na heshima yake kwenye familiya yake, iyomuwezesha kuwalea vizuri watoto wake pamoja na familia yote. Kwa hiyo basi, siyo vizuri kucheza na watoto wake mzee huyo, kwa sababu akifanya hivyo watoto hao watamdharau maishani mwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘dume la mbwa halichezi na watoto wa mbwa.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha mazoea ya hovyo na watoto wao, ili waweze kuwalea vema kwa kujenga heshima inayotakiwa katika familia yote, maishani mwao.

Waefeso 6:4.

One comment

  1. Nizukwa ilagilo lya Kane mumalagilo Ikumi gha Ng’wa Welelo, ghiki ” Bakujage Nso na Noko upandikhe walamo bhulihu na nima muwelelo!

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.