340. KASESEMYA MVA OKABHONELA HE?

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhusesemiwa b’o mva. Imva yiniyo ulu ugayiwa jiliwa, igasesemaga ukunhu yasamaga, kugiki ipandike hewa. Igasusub’aga uko ijile ulu yitubhile. Gashinaga lulu, inzala yayo hiyo igisesemyaga imva yinilo. Hunagwene abhanhu bhagibhujaga giki, kasesemya mva okabhonela he?’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigusijaga sabho sagala. Umunhu ng’wunuyo agitaga giko kunguno atali uguibhona inzala, ulu nioyibhona, nagajilanghanaga chiza isabho jinijo. Hungwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘akasesemya mva okabhonela he?’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gujilang’hana chiza isabho ijo bhalinajo, kugiki jidule gubhagunana ha shigu ijahabhutongi.

Mwanzo 41:29 – 36,

Mathayo 6:19-21.

KISWAHILI: KAHEMESHA MBWA UMEKAONEA WAPI?

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye uhemeshaji wa mbwa. Mbwa akikosa chakula huhema akiwa ameachama na kutoa ulimi wake ili aweze kupata hewa. Kumbe basi, njaa yake hiyo ndiyo ile inayomhemesha mbwa huyo. Ndiyo maana watu huulizana kwamba, ‘kahemesha mbwa umekaonea wapi?’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huzichezea mali hovyo maishani mwake. Mtu huyo hufanya hivyo kwa sababu yeye hajaona njaa inavyowatesa watu, maishani. Angekuwa ameiona angekuwa anazilinda mali hizo. Ndiyo maana watu humuuliza kwamba, ‘kasesemya mbwa umekaona wapi?’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuelewa kuzilinda mali zao hizo, ili ziweze kuwasaidia katika siku za mbeleni.

Mwanzo 41:29 – 36,

Mathayo 6:19-21.

animal-dog

ENGLISH: WHERE DID YOU SEE WHAT MAKES DOGS TO SALIVATE?

The source of the saying comes from dog’s salivation. When a dog misses food it salivates. In fact, it is its hunger that stimulates the dog to salivate. This is why people ask one another, ‘where did you see what makes dogs salivate’?

The saying is compared to a person who disrespects his/her possessions in life. Such a person does so because he/she has never seen how people suffer in life. Such people are being warned by asking them that ‘where did you see what makes dogs salivate?’

The saying teaches people about understanding how to protect their property for the aim of making their prosperous future.

Genesis 41:29 – 36.

Matthew 6: 19-21.

One comment

  1. Natogwa nho! Badughu bhane insabho Jise tushitumamele bho masala, tutize ihuluja twenha gikhi iliho na ntondo

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.