338. WANG’WIMA NG’WIYO NUB’EB’E ULAGUB’ONA

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhulombi bho ginhu na wimiwa bhojo. Olihoyi munhu uyo olina makoye, uyo agaja gujulomba wambilijiwa kuli ng’wiye. Ung’wiye ng’wunuyo agang’wima uyo olina makoye. Abhanhu aho b’igwa igiki ong’wimaga uyo oyunombaga, bhagang’wila giki. ‘wang’wima ng’wiyo nub’e’be ulagub’ona.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo aling’wiming’holo. Umungu ng’wunuyo agab’imaga abhiye abho b’agajaga gujunomba. Kuyiniyo lulu, ulu nang’hwe uja gujulomba agwimiwa, kunguno nuweyi agab’imaga abhiye. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘wang’wima ng’wiyo nub’eb’e ulagub’ona.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gub’iza b’izang’holo umuwikaji bhobho, kugiki nabho ulu bhalalombe ginhu bhambilijiwe, kunguno nabho bhagabhambilijiaga abhichabho.

Luka 16:38.

KISWAHILI: UMEMNYIMA MWENZIO NAWEWE UTAONA

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye uombaji wa kitu na kunyimwa. Alikuwepo mtu mmoja aliyekuwa na matatizo, ambaye alienda kuomba msaada kwa mwenzake. Huyo mwenzake alimnyima yule aliyekuwa na matatizo. Watu walioelewa kwamba amemnyima mhitaji huyo, walimwambia kwamba, ‘umemnyima mwenzio na wewe utaona.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye ni mchoyo maishani mwake. Mtu huyo huwanyima wenzake waendao kumuomba msaada wake. Kwa hiyo basi, akienda kuomba msaada naye atanyimwa kwa sababu naye huwanyima wenzake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘umemnyima mwenzio na wewe utaona.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa wakarimu maishani mwao, ili nao waweze kusaidiwa watakapohitaji msaada kutoka kwa wenzao, kwa sababu nao huwasaidia wenzao hao wanaohitaji msaada wao.

Luka 16:38.

poor-kids

 

 

ENGLISH: YOU HAVE REFUSED TO HELP YOUR FELLOW, YOU ALSO SHALL SEE IT.

This saying stems from objection and deprivation. There was a person who had problems and went to seek help from his/her friend, but he/she was refused. People who knew that the needy person was refused from being helped they told him/her that, ‘you have refused to help your fellow, you also shall see it.’

The saying can be compared to someone who is greedy in his/her life. It is likened to a person who refuses to help his/her fellows. Such a person is likely not to be helped when he/she seeks for a help whenever he/she faces problems. This is why people say, ‘you have refused to help your fellow, you also shall see it.’

The saying teaches people to be generous in their lives so that they can be helped when they need help from their fellows.

Luke 16:38.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.