308. NONI IMO MMAKONO ILI YA WIZA GUKILA IB´ILI NG´WIPOLU

Imbuki ya lusumo lunulo ingilile kunoni iyo ilimumakono ga ng´wa munhu. Umunhu ng´wunuyo oladidililaga chiza, kunguno ya gujikumbwa noni ijo jiling´wipolu. Aho janshiga inoni  jinijo, uibhona isolobho ya noni iyo ilimmakono gakwe. Hunagwene abhanhu bhayombaga giki, ´noni imo mmakono iliyawiza gukila ib´ili ng´wipolu.´

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinajikolo umumakono gakwe ijo agajidalahaga, kunguno ya kujikumbwa sabho ijo jidiho. Uweyi adadebhile igiki ijo alinajo jilijawiza gukila gujikumbwa ijo adinajo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki ‘noni imo mmakono ili yawiza gukila ib’ili ng’wipolu.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gujidilila chiza isab’a ijo b’alinajo, umumakono gabho, gukila gujikumbwa ijo bhadinajo.

Luka 15:7.

KISWAHILI: NDEGE MMOJA MIKONONI NI BORA KULIKO NDEGE WAWILI POLINI

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye ndege aliyeko mikononi mwa mtu. Mtu huyo hamjali vizuri kwa sababu ya kutamani kupata ndege wawilli walioko polini.

Alipogundua kwamba ndege hao walioko polini wamemuacha, alitambua umuhimu wa ndege aliyenaye mikononi mwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘ndege mmoja mikononi, ni bora kuliko ndege wawili polini.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye  ana mali mikononi mwake, ambaye huidharau mali hiyo, kwa sababu ya kutamani mali ambao haipo. Yeye  haelewi kwamba kile alicho nacho, ni bora  kuliko kutamani mali asizo nazo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘ndege mmoja mikononi ni bora kuliko ndege wawili polini.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuitunza mali waliyo nayo mikononi mwao, kuliko kutamani ile wasiyokuwa nayo.

Luka 15:7.

people with bird

robin

 

ENGLISH: A BIRD IN THE HAND IS WORTH THAN TWO IN THE BUSH

The proverb originates from a story of a person with one bird in hand. There was a person who was not taking good care of the bird he/she had because of the desire of two birds which were in the bush.

When this person could not catch the two birds in the bush he/she realized the value of the bird he/she had in his hands. That is why people say, “a bird in the hand is worth than two in the bush.”

The proverb is likened to a person who dispeses the property he/she has in possession because of a desire for property that he/she does not have. The person does not appreciate the worth of what he/she has in relation to what he/she does not have. This makes people to tell him/her, “a bird in the hand is worth than two in the bush.”

The proverb teaches people to value and take good care of what they have even if it is small rather than the desire for something greater which may come to nothing.

Luke 15: 7.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.