307. B´OYA B´O NGOKO B´UDAKWIJAGA NYAMA

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile bóya b´o ngoko na nyama yayo. Ingoko ulu idinatonwa ub´oya, igikalaga nhale. Aliyo lulu, ulu munhu uitona ub´oya b´unubho, igabhizaga ndololo. Gashinaga inyama yayo idinhale gitumo igigelelaga ingoko yiniyo, ulu ilinabhoya b´oyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ´b´oya b´o ngoko b´udakwijaga nyama.´

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alintale ubhogunola, aliyo lulu, amasala gakwe galimagehu. Umunhu ng´wunuyo agitaga mihayo ya nyanigini. Hunagwene abhanhu bhagang´wilaga giki, ´b´oya b´o ngoko b´udakwijaga nyama.´

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kutumama milimo yabho, bho nduhu gwishadya mumilimo ya bhichacho.

1 Samweli 16:6-15.

Yohane 7:24.

KISWAHILI: MANYOYA YA KUKU HAYAFANYI NYAMA KUWA NYINGI

Chanzo cha methali hiyo chaangalia manyoya ya kuku na nyama yake. Kuku akiwa na manyoya huonekana kuwa ni mkubwa. Lakini basi, mtu akinyonyoa manyoya hayo, huwa mdogo. Kumbe nyama yake siyo kubwa kama ilivyoonekana wakati kuku huyo akiwa na manyoya yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ´manyoya ya kuku hayafanyi nyama kuwa nyingi.´

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye huonakana kuwa ni mkubwa kwa umbo, lakini basi, akili zake ni ndogo. Mtu huyo hufanya mambo ya kitoto. Ndiyo maana watu humwambia kuwa, ´manyoya ya kuku hayafanyi nyama kuwa nyingi.´

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kufanya kazi zao vizuri bila kujiingiza kwenye kazi za wenzao.

1 Samweli 16:6-15.

Yohane 7:24.

animal

 

ENGLISH: CHICKEN’S FEATHERS NEVER ADD ITS MEAT

This proverb rises in the relationship between chicken’s feathers and its meat. A chicken always looks big when it has its feathers. However, when the feathers of the same chicken are plucked it becomes small and its meat also become not as big as it looked when the chicken had its feathers.That is why people say, “chicken’s feathers never add its meat.”

The proverb is compared to someone who looks big in shape, but then his/her intelligence is low. That person does childish things. That is why people tell such people that “chicken’s feathers never add its meat.”

The proverb teaches people to do their jobs well as well as engaging in their fellow’s works.

1 Samuel 16: 6-15.

John 7:24.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.