306. JAB´I NG´HANGA JA JIDIKU JALEKANA MAGELE

Imbuki ya lusumo lunulo ingilile kukikalile ka ng´hanga. Ing´hanga jilinoni ijo jigikalaga kihamo, umakanza aga muchu. Ulu gushiga amakanza aga jidiku jigalekanaga jaja gujutela. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ´jab´i ng´hanga ja jidiku jalekana magele.´

Ulusumo lunulo lugalenganijjiyagwa kubhanhu abho bhagabhizaga kihamo umumakanza ga jidiku kunguno ya gulima. Ulu gushiga amakanza aga muchu, abhanhu b’enabho bhagabalasanaga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ´jab´i ng´hanga ja jidiku jalekana magele.´

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhumo bho gudula gutumama milimo yabho chiza, umumanza aga milimo yiniyo. Ubhumo bhunubho bhugubhambilija, abhanhu bhenabho, ijinagugatumila chiza amakanza aga milimo yabho.

Luka 10: 17-20.

KISWAHILI: ZIMEKUWA KANGA ZA MASIKA ZIMEACHANA MAKUNDI

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye maisha ya kanga. Kanga ni ndege ambao huishi kwa pamoja wakati wa kiangazi. Kikifika kipindi cha masika hutawanyika kwa ajili ya kwenda kutaga. Ndiyo maana watu husema kwamba, ´zimekuwa kanga za masika, zimeachana makundi.´

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu ambao huwa wako pamoja kwenye kipindi cha masika, kwa sababu ya kulima. Kikifika kipindi cha kiangazi, watu hao huachana. Ndiyo maana watu husema kwamba, ´zimekuwa kanga za masika zimeachana makundi.´

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuunda umoja wa kuwawezesha kufanya kazi, ufikapo wakati wa kazi hizo. Umoja huo utawasaidia watu hao katika kuutumia vizuri muda wao huo wa kazi.

Luka 10: 17-20.

brick-laying

 

ENGLISH: THEY HAVE BECOME SPRING GUNEAFOWLS; THEY HAVE DISPERSED IN GROUPS

The saying emerges from the life of guneafowls. These birds live in groups durig summer.However, when spring begins, they disperse to go to lay eggs. That is why people say, “They have become spring guneafowls; they have dispersed in groups.”

The saying is compared to people who live together during spring because of working together. When summer comes, they disperse. That is why people say, “They have become spring guneafowls; they have dispersed in groups.”

The saying teaches people about forming union and doing their activities together. The union will help these people in managing their time.

Luke 10: 17-20.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.