277. NYAMA YA MBOKU UDILYA.

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile nyama ya ng’wa munhu uyo alimboku. Inyama ya ng’wa munhu ng’wunuyo, igikalaga na mapalala mingi, kunguno uwei adabhonaga. Kuyiniyo lulu, inyama yiniyo igazuganijiyagwa na mapalala gayo genayo, ayogagib’ipyaga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘nyama ya mboku udilya.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali na miito gabhubhi. Amiito genayo gagigaluchaga ni mihayo yabho yab’iza mib’i. Amiito genayo amabhi, gikolile nu mboku. Imihayo imibhi ikolile ni nyama iyo ili na mapalala. Hunagwene abhanhu bhagabhawilaga abha miito gabhubhi bhenabho giki, ‘nyama ya mboku udilya.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu kuleka gwita miito ga bhubhi, kunguno amiito genayo gagaib’ipyaga ni mihayo yabho. Gashinaga lulu, yigelelilwe gwita miito ga wiza, ayo gagayib’ejaga ni mihayo yabho, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho abhanhu bhenabho.’

(Mathayo 23:26).

KISWAHILI: NYAMA YA KIPOFU HUTAWEZA KUILA.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia nyama iliyoandaliwa na mtu ambaye ni kipofu. Nyama hiyo huwa na takataka nyingi, kwa sababu ya yeye kuwa na hali ya kutoona. Hivyo, yeye huwa hawezi kukiandaa vizuri chakula chake. Ndiyo maana chakula hicho huwa na takataka nyingi. Kwa sababu hiyo, watu husema, ‘Nyama ya kipofu hutaweza kuila.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wenye matendo mabaya. Matendo hayo husababisha watu hao pia kuwa na maneno mabaya. Matendo mabaya hayo hufanana na kipofu. Maneno mabaya hufanana na nyama hiyo ya kipofu, yenye takataka nyingi. Ndiyo maana, watu huwaambia watu wengine kwa kuwarejelea watu hao wenye matendo mabaya kwamba, ‘Nyama ya kipofu hutaweza kuila’ wakiwa na maana kwamba hawatayaweza yale matendo maovu na maneno ya ovyo.

Methali hiyo hufundisha watu  kuacha kutenda matendo maovu, kwa sababu matendo hayo maovu husababisha pia wawe na maneno mabaya.  Kumbe basi, yafaa kutenda matendo mema ambayo huzaa maneno mazuri yatakiwayo kwa ajili ya kuishi vizuri katika jamii na kuleta maendeleo kwa familia zao.

(Mathayo 23:26).

 

meat food

ENGLISH: YOU CANNOT EAT THE MEAT OF A BLIND PERSON.

The origin of the proverb is meat that is prepared by a blind man. Such meat has a lot of trash, because of the person’s blindness. It is assumed that such a person can’t prepare food in a proper manner, which is why it contains a lot of garbage. That is why people also say, ‘you cannot eat the meat of a blind person.’

The proverb is used to liken people whose deeds are evil to blind persons. Such actions lead to use of inappropriate words by those people. Such evil acts are like the meat prepared by a blind person. The inappropriate words are like the trash which soil the meat during preparation. That is why people tell others with reference the evil doers that ‘you cannot eat the meat of a blind person.’

This proverb teaches people to refrain from doing evils, because those evils also lead them to inappropriate diction. It is necessary, therefore, to do good deeds that yield appropriate diction that is cherished by the societal moral guardians and that may have positive contribution to family welfare and development.

(Matthew 23:26).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.