269. LISO LIDALYAGA.

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile nimo go liso. Unimo go liso guli gubhona ijo lilijishigila na gujileka gitumo jilili. Lidadulile gujilya, nulu gujigalucha kunzila yoseyose. Hunagwene abhanhu ulu bhalibhona ginhu bhagayombaga giki, ‘Liso lidalyaga.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagogohaga gwita ya wiza umuwikaji bhobho, kunguno ya gogoha miso ga bhanhu, giki bhagusekwa. Abhanhu bhenabho bhagalekaga nulu gubhalanga bhichabho ugwiita iyawiza yeniyo guti gunamya Mulungu, nulu gunpija munhu gwinga mumakoye, kunguno ya gogoha miso ga bhanhu. Ijinagubhakomeleja abhichab’o bhagabhawilaga giki, ‘liso lidalyaga’ kugiki bhadule gwita mihayo ya ng’hana bho nduhu gogoha miso ga bhanhu.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu guyitumama milimo ya ng’hana na ya wiza, bho nduhu gogoha miso ga bhanhu, kunguno iliso lidalyaga. Ubhutumami bhunubho bhugubhambilija abhanhu bhenabho ugubhumana ubhung’hana ubho bhudulile gujibheja chiza ikaya jabho.

(Mathayo 5:14 -16).

KISWAHILI: JICHO HUWA HALILI.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia kazi ya jicho. Kazi ya jicho ni kuona kile ambacho linakifikia, na kukiacha kama kilivyo. Haliwezi kukila wala kukibadili kwa namna yoyote ile. Ndiyo maana watu wakiwa wanaangalia kitu fulani husema kwamba, ‘Jicho huwa halili.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wale waachao kutenda mema kwa sababu ya kuogopa macho ya watu, kwamba watachekwa. Watu hao huacha kutenda mema yakiwemo yale ya kuwafundisha wenzao juu ya kumwabudu Mungu, na kuwasaidia watu wanaohitaji msaada wao, kwa sababu ya kuogopa macho ya watu. Ndiyo maana, wenzao huwaambia watu hao kwamba, ‘jicho huwa halili,’ ili waweze kutenda mema hayo bila kuogoga macho ya watu.

Methali hiyo hufundisha watu  kutenda mema katika jamii bila kuogopa macho ya watu, kwa sababu jicho halili. Utendaji huo wa mema utawasaidia wao katika kuufahamu ukweli uwezao kuwapatia maendeleo katika familia zao.

‘‘Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika. Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa bakuli. Badala yake, huiweka kwenye kinara chake, nayo hutoa mwanga kwa kila mtu aliyemo ndani ya ile nyumba. Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Mathayo 5:14-16.

 

 

 

portrait eyes

ENGLISH: THE EYE DOES NOT EAT.

The origin of this proverb is the function of an eye. The task of the eye is to see what it lands on, and to leave it as it is. It cannot eat or change it in any way. That is why when people are looking at something they say, ‘an eye does not eat.’

The proverb is used as an eye-opener to those who avoid doing good deeds because of the fear of the eyes of other people, that they will be ridiculed. Such people avoid doing good deeds, including teaching others about worshiping God and helping those in need because of the fear of other people. That is why, their peers tell them, ‘The eye does not eat’ so that they can do good deeds without fear of people’s eyes.

The proverb teaches people to do good deeds in the community without fear of other people’s eyes because the eye does not eat. Doing good deeds will help them realize the truth that can improve their family welfare and prosperity.

“’You are the light of the world. A city built on a hill cannot be hidden. Nor do people light a lamp and cover it with a bowl. Instead, they put it on its Hill and it gives light to everyone in the house. Let your light so shine before men, that they may see your good works, and glorify your Father which is in heaven.

(Matthew 5:14 -16).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.