270. MHULI ILYE NGUNDA INEKE UNIMI.

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile mhuli, ngunda na nimi. Imhuli ilolecha majilili gosegose ayo gadulile gukenagula jiliwa. Ungunda gulolecha ginhu ijo unimi agajipandikaga ulu olima. Umunhu ali nimi uyo agalimaga ujipandika ijikolo  jinijo.

Kuyiniyo lulu, ungunda ulu gugaliwa na majilili gumalwa, unimi ukija ugubhulagwa, agulima hangi. Umunhu alina solobho nhale gukila isabho, kunguno uwei hung’wene uyo agajipandika isabho jinijo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘mhuli ilye ngunda ineke unimi.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagakomanyanga imihayo iya solobho, niyo idina na solobho, umuwikaji bhobho. Bhadeb’ile igiki ubhupanga bho ng’wa munhu bhuli na solobho nhale kukila ijikolo ijo agajipandikaga bho gutumama milimo. Kuyiniyo lulu, isabho josejose nulu jigakenagulwa ulu munhu alihoyi, agujipandika jingi bho gutumama milimo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘Mhuli ilye Ngunda ineke unimi.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu gudebha gudima mihayo nulu milimo iyo ilina solobho nhale uku wikaji bhobho.  Igelelilwe abhanhu bhenabho bhaitumame imilimo yiniyo iyo ilina solobho, na kuileka iyo idina solobho umuwikaji bhobho, kugiki bhadule ugujib’eja chiza ikaya jabho.

(Mathayo 2:16 – 18; Yeremia 31: 15 – 17).

KISWAHILI: TEMBO ALE SHAMBA AMWACHE MKULIMA.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia tembo, shamba na mkulima, tembo akiwakilisha wanyama waharibifu wa mazao yaliyoko shambani huku shamba likiwakilisha kitu akipatacho mkulima kutokana na kazi yake hiyo ya kilimo. Aidha, mkulima anawakilisha umuhimu wa mtu ambaye huvipata vitu hivyo kutokana na kufanya kazi zake za kilimo.

Kwa hiyo, mazao ya shamba yakiliwa na wanyama waharibifu, mkulima akasalimika kuawa atalima tena na kupata mali nyingine. Mtu ana faida kubwa kuliko mali, kwa sababu yeye aweza kuzipata mali hizo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Tembo ale shamba amwache mkulima.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutenga maneno au kazi zilizo na faida, na zile ambazo hazina faida maishani mwake. Yeye afahamu kwamba, uzima wa mwanadamu una faida kubwa kuliko mali ambazo yeye huzipata kwa kufanya kazi za kilimo. Kwa hiyo, mali yoyote ikiharibiwa, kama yeye mkulima yupo, atafanya kazi na kuzipata mali zingine. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Tembo ale Shamba aache Mkulima.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuelewa kushika maneno, au kazi zilizo na faida kubwa maishani mwao. Yafaa watu hao wazifanye kazi hizo zenye faida, na kuziacha zile zisizo na faida kwao, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao.

(Mathayo 2:16 – 18; Yeremia 31: 15 – 17).

 

 

 

elephant

ENGLISH: LET THE ELEPHANT EAT THE FARM, BUT LEAVE THE FARMER.

The origin of this proverb refers to an elephant, a farm and a farmer. The elephant depicts any farm destructive wild animals while the farm depicts what a farmer earns from his/her farming career. The farmer depicts the importance of a person who earns the farm produce from his/her farming.

Therefore, if the field is destroyed by the animals, but the farmer survives, he/she will grow other crops and regain his/her wealth. As such, person is more important than what he/she possesses, because he/she can regain the possessions, in case of loss. That is why people say, ‘let the elephant eat the farm, but leave the farmer.’

The proverb is used comparatively to urge people to adopt an attitude of a person who differentiates useful and useless things in life. Such a person realizes that human life has a greater value than the wealth he earns from farming. Therefore, if any property is damaged, while the farmer is still alive, he/she would simply work even harder to gain onother property. That is why people say, ‘Let the elephants eat the farm, but leave the farmer.’

This proverb teaches people about understanding meaningful things in their lives. It is important for these people to do what is good and refrain from doing what is unprofitable for them, so that they can improve the welfare of their families.

(Matthew 2:16 – 18; Jeremiah 31: 15 – 17).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.