268. KUMALYA MIZA NDALO MBI.

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile nzengo, nulu chalo, ijojigaponaga jiliwa, aliyo ichalo jinijo jilinabhanishi. Ichalo jinijo jigabishaga majiliwa mingi guti mandege, bhusiga, manumbu, ng’halanga na gangi mingi. Aliyo lulu, ichalo jinijo jidadilaga gusangwa na bhanishi, bhuli makanza. Abhananzengo bhagadumaga ugulala chiza kunguno ya gub’iza na wibhakizu bho gusangwa na bhanishi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘kumalya miza ndalo mbi.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaga bhukengeji bho nzengo, nulu chalo, ijo alihaya gusamila haho adiniyangula gwita chene. Umunhu ng’wunuyo agitaga bhukengeji bhunubho kubhuli ginhu ijo alihaya gujita, kugiki abhone iji jilinasolobho ya gulang’hana bhupanga bhokwe, na bho bhanhu bhakwe, haho adiniyangula gwita jose jose.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu gwita bhukengeji bhutale, haho bhadiniyangula gwita ginhu, guti: gusamila hanhu, nulu kutumama nimo gulebhe. Ubhukengeji bhunubho bhugubhambilija abhanhu bhenabho ijinaguyisolanyha imihayo iyo ilina solobho ukubhanhu, na guyileka iyo idina solobho umuwikaji bhobho.

(Marko 14: 23-27; Mathayo 26: 26-31).

KISWAHILI: KWENYE MLO MZURI MALAZI MABAYA.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia kijiji kinapata mavuno mengi ya vyakula, lakini kina maadui. Kijiji hicho hupata vyakula vingi sana na vya aina mbalimbali kama vile: mahindi, mtama, viazi, karanga na vingine vingi.

Hata hivyo, kijiji hicho hakikawii kuvamiwa na maadui kila wakati. Wanakijiji wake hulala kwa wasiwasi, kwa sababu ya kuogopa kuvamia na maadui hao. Ndiyo maana watu husema, ‘Kwenye mlo mzuri malazi mabaya.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule afanyaye utafiti wa kijiji atakacho kuhamia, kabla ya kuhamia, au kitu atakacho kukifanya kabla hajakitekeleza. Mtu huyo hufanya utafiti huo kuhusu kila kitu atakacho kukifanya, ili aweze kuona kama kina usalama kwake, na kwa watu wake, kabla ya kutekeleza jambo hilo.

Methali hiyo hufundisha watu  kufanya utafiti wa kina kabla ya kuamua kutekeleza jambo fulani, kama vile kuhama, au kufanya kazi fulani. Utafiti huo utawasaidia watu katika kuyachagua yale yenye faida kwa uhai wa mwanadamu na kuyaacha yale yahatarishayo maisha yao.

(Marko 14: 23-27; Mathayo 26: 26-31).

greengrocer-

ENGLISH: THERE IS GOOD MEAL, BUT BAD SLEEP.

The origin of this proverb is a village that boasts of lots of foods, but has many enemies. The village produces abundant food produce of various types such as maize, sorghum, potatoes, peanuts and many others.

However, the village is always invaded by enemies. Therefore, its villagers always sleep in anxiety, for fear of being attacked by enemies. That is why people say, ‘There is good meal but bad sleep.’

The proverb is used to encourage people to adopt an attitude of a person who does research on a village he/she intends to relocate to before implementing the relocation. A person with such an attitude conducts thorough research on almost everything he/she intends to do so that he/she ascertains its safety to him/her and to his/her people, before doing it.

The proverb teaches people to do thorough research before deciding on doing something, such as relocating, or doing some work. The study will assist people to choose what is most beneficial for human life and forego what endanger their lives.

(Mark 14: 23-27; Matthew 26: 26-31).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.